Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

Pole sana
 
Haya ni matusi tu.

Aliyeiona hoja anionyeshe.

Hebu ona wenye madukuduku yao, ni kejeli juu ya kejeli (Matusi)
 
Anakwambia hata unywaji wa juice ni hatari kwa afya yako, haijalishi ni juice ya aina gani,,, hakika huyu ni proffesor πŸ˜…πŸ˜…
Sasa kama vitu vitamu vyote ni hatari pesa tutafute za nini?
🀣🀣🀣
Ipo siku atasema maku si nzuri kiafya
 
Ahahahah
Magu aliwaendesha watu aisee
Mpaka majeshi yalipigishwa nyungu

Halafu akamtuma Profesa Kabudi na ndege , kutuletea dawa ya covid kutoka Madagascar na wakainywa mbele ya waandishi wa habari

TZ kuna wazimu
 
Kwani kuna uhusiano gani wa kugundua na ushauri wake? Kwani agundua dawa ya minyoo ambayo tayari ipo, huyu ni dakitari mbingwa tuwe na utamaduni wa kiheshimu taaluma za watu, sisi watanzania ni wajuaji sanaa ata yule aliemaliza form four tu, .......
 
Samahani sana na wala si kwa kuombeana mabaya.

Hivi ikitokea tunapata taarifa ya kifo cha Dr huyu kifo ambacho kimetokana na matatizo ya moyo hali itakuwaje?

Nawasilisha.
 
Kwamba
Prof Janabi
Juma Lokole
Baba Levo
Mwijaku
Dotto Magari
Sasa ni kundi moja lengo ni kutrend mitandaoni? Hii nchi ngumuπŸ‘πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…