antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hawa watakuwa ni wapenzi wa chips yai, chips kuku broiler anashushia na soda ya Energy, hawataki kuambiwa ukweli.Ona vibonge wazee wa kula kula wanavyomshambulia Prof Janab. Halafu unaweza kuta wao ni walimu wa kiswahili huko kijijini mpwiti.
Kwahiyo ukweli usisemwe pale anapopuyanga????
Ujinga unaotaka kuongelea unao wewe Ambaye una sikiliza kila neno kutoka kwake na kulikubali kama lilivyo hata kama ni tata.
SHAME ON YOU!!!!
Kama hoja niliyokujibu siyo hoja 🚮Wewe ni mjinga kwa sababu yeye Janabi kazungumza kwa fact.
Sijakulazimisha umwamini, isipokuwa jibu kwa hoja na utoe sababu.
Zaidi ya hapo ni ujinga kumshambulia mtoa hoja badala ya kuijadili hoja yake.
Uwezo wa kufikiria ni Kitu ambacho mtu anazaliwa nacho hakina uhusiano na Dona.Inaonaekana una akili za kukaririshwaHaya ndio yale ya yule Dr. wa kisabato aliyewaharibu Watanzania kwa kushindia Dona.
Dona ina sumu na inaharibu uwezo wa kufikiri wazungu wameprove.
Sasa hivi Watanzania wanapiga Dona mno
Ooooh kumbeSikia, hizo kitu zikishadondoka, mmea ukikauka, kule chini kwenye shina kuna viazi.
Ukiamua kuacha, mvua ikinyesha vinaota tena halafu vinazaa, na hivyo mzunguko unadumu.
Ndizi tena? Hapo amezingua sana haiwezi kupita siku sijala ndizi japo moja tena uipate na wali acha kabisa.Prof uchwara sawa na Mwenzakw Kabudi tu. Sasa prof hana tofauti na Lokole huyo. Jana anasema tusile vitu vitamu. Eti hata kula chungwa au ndizi ni hatari kwa afya. Jamaa anatengeneza tension bila sababu yoyote na anatafuta trending kama Mwijaku sasa.
Kimsingi mzee yupo frastraHivi Janabi ni cardiologist ama Nutritionist?
Maana anavyoongelea chakula ni kama vile yeye ni specialized Nutritionist.
Ama ukiwa daktari unaweza kuzungumzia jambo lolote la chakula?
Anataka ule wali na Muarobaini au na Mbegu za Limao ndio havina madhara. Sasa mzee anatakiwa a Yamazaki kwani anajivunjia heshima katika jamii.Ndizi tena? Hapo amezingua sana haiwezi kupita siku sijala ndizi japo moja tena uipate na wali acha kabisa.