GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Ukiwa huna nia kabisa ya Kugombea Ubunge au ukijijua kuwa hata Ukigombea hukubaliki ukijaribu 'Kulazimisha' tu Wenye Jimbo lao watakumaliza.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Paramagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
===
View attachment 1600004
Katiba mpya ya wananchi itapatikana siku wananchi wa tanzania tukiacha uoga wa kipumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😁😅😄😃😃😁😂🤣😅😄😃😃😃Rc anasema eti anawaambia watz wasiwe na wasiwasi eti waziri anaendelea vizuri,yaan tuwe na wasiwasi na huyo mchumia tumbo Kwan ana faida gani kwa Taifa aisee huyu Rc hayuko serious
[emoji16][emoji16][emoji16]very turuu!Rc anasema eti anawaambia watz wasiwe na wasiwasi eti waziri anaendelea vizuri,yaan tuwe na wasiwasi na huyo mchumia tumbo Kwan ana faida gani kwa Taifa aisee huyu Rc hayuko serious
Ukiingia kwenye siasa ukubali tu kuchafuliwa na heshima yako kupopolewa tena na ambao walikua wakikuheshimu mwanzo. Prof Kabudi alikua anaheshimika sana na sikuwahi kufukiria ipo siku atakuja kutolewa maneno ya kashfa kama hivi kufikia hatua ya watu kutamani afe kabisa!!!!Kabudi yupi Professa wa Constitutional law au
Kabudi wa Tume ya mabadiliko ya katiba au
Kabudi wa kutoka jalalani au
Kabudi wa Barrick na manhattan
Unaongelea kabudi yupi
Hawa watu uwaziri wao unakoma lini?
Bongo nyosoRc anasema eti anawaambia watz wasiwe na wasiwasi eti waziri anaendelea vizuri,yaan tuwe na wasiwasi na huyo mchumia tumbo Kwan ana faida gani kwa Taifa aisee huyu Rc hayuko serious
Ili akatumie mabilion kama Job Ndugai?Hawajafanya mipango ya kumpeleka India?
Kuchafuliwa kutategemea na aina ya siasa unayoifanya ndio maana wapo wanasiasa wasiochafuka labda kwa mapungufu yao ya kibinadamu ambayo hayaathiri utendaji wao wa kazi mfano kupenda kula widaUkiingia kwenye siasa ukubali tu kuchafuliwa na heshima yako kupopolewa tena na ambao walikua wakikuheshimu mwanzo. Prof Kabudi alikua anaheshimika sana na sikuwahi kufukiria ipo siku atakuja kutolewa maneno ya kashfa kama hivi kufikia hatua ya watu kutamani afe kabisa!!!!
Sema rais mteuleMteule mpya akiapishwa kushika wadhifa wa uwaziri wa wizara husika
Ndio maana Prof Shivji hakutaka makuu. Kaamua kustaafu zake kwa heshima kabisa pamoja na offer kibao alizokua anapata ikiwa ni miongoni mwazo ni kupewa nafasi ya kisiasaKuchafuliwa kutategemea na aina ya siasa unayoifanya ndio maana wapo wanasiasa wasiochafuka labda kwa mapungufu yao ya kibinadamu ambayo hayaathiri utendaji wao wa kazi mfano kupenda kula wida
Sent using Jamii Forums mobile app