Prof. Kabudi apata ajali Morogoro, amelazwa Hospitali ya Rufaa na hali yake ni nzuri

Nawahakikishien kama Magu angekuwa Mungu, lslael angetumbuliwa leo hii sababu anafail sana.
 
EMBU LETENI TAARIFA ZAMAANA unakumbuka alisema nn kuhusu katiba maya na leo anafanya nn Chakumbanga na huyu......
 
Chuki imekuwa kali mpaka viongozi wakipata ajali wakipona wanaombewa vifo, kwani viongozi wamewafanya nini watu wao? Viongozi mjitafakari hali sio nzuri.
 
Huyo mmasai ndo wale wakiambiwa watotoe salamu msibani wana anza kwa kusema ' msiba oyeeee' yaani CCM iemeharibu sana hawa morani yetu. Yaani siyo wale walokuwa wakakamafu kipindi akiwa fijana. Woooi sheeee
Siku hizi wanasuka dada zetu huku mjini,chama kimewaharibu sana mkuu.
 
Rc anasema eti anawaambia watanzania wasiwe na wasiwasi eti waziri anaendelea vizuri, yaani tuwe na wasiwasi na huyo mchumia tumbo Kwani ana faida gani kwa Taifa aisee huyu Rc hayuko serious
Wewe unachumia nini, kama siyo tumbo! Wote tunahangaika na kazi ili tule! Don't tell me otherwise.
 
Ndio maana Prof Shivji hakutaka makuu. Kaamua kustaafu zake kwa heshima kabisa pamoja na offer kibao alizokua anapata ikiwa ni miongoni mwazo ni kupewa nafasi ya kisiasa
Hayo alikuambia nani kama si umbea.
 
R.I.P. Kabudi. Ooh sorry. Pona kidogokidogo!
 
Huyu si alitakiwa ampigie simu Polepole anawapa Watanzania wapi taarifa?
 
Huyo mmasai ndo wale wakiambiwa watotoe salamu msibani wana anza kwa kusema ' msiba oyeeee' yaani CCM iemeharibu sana hawa morani yetu. Yaani siyo wale walokuwa wakakamafu kipindi akiwa fijana. Woooi sheeee
Yaani hapa ndo umeongea nini?
 
Hakufunga Mkanda, maana ajali ya 4x4 na Bajaj , halafu mtu alazwe in
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…