nergomafioso
Senior Member
- Apr 3, 2024
- 109
- 284
Kwakuwa mashuleni wote ni wakristo!
Watanzania msichanganye siasa na dini.
Watanzania msichanganye siasa na dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MoU ikifutwa usisahau Morogoro University 😃Nilidhani atatoa hoja ya kufutwa MOU yeye kama waziri wa sheria
Biblia ni ya wote. Husikii mashehe wakiitumia?ni muhimu mno elimu hiyo ikatolewa huko huko makanisani kwa wenye imani hiyo pamoja na biblia bure, nadhani itapendeza zaidi na kuepusha usumbufu kwa wasio husika 🐒
hakika malezi ya msingi ya makuzi na kimaadili ni ya wazazi,Jukumu la kufundisha maadili ni wazazi hayo mambo mengine mbwembwe tu
Ova
kama nilivyosema awali hata kitimoto ni ya wote tu gentleman haina ubaguzi 🐒Biblia ni ya wote. Husikii mashehe wakiitumia?
Usingesoma somo la dini usingeweza kuainisha hivyo.Si Kila profesa ni profesa, wengine ni profesa kabudi.
Huyu ni Mtu anayezungumza hayo pasipo kufahamu/kutambua au kuwa na uelewa wa Kina wa Historia ya Homo Sapiens, Religion/dini, Comparative religion, Ethics (philo+S) na Technology & Uchumii (From thirds world country to first world country).
Anafanya ni Mkumbuke Padre Mmoja katika somo la Religion & bible knowledge Shule ya Upili.. Miaka ya nyuma huko.
Na maswalii kadha wa kadhaa,
1.kuna mgawanyo wa vitabu katika agano la Kale, sehemu kuu nne nazo ni:-
A) vitabu vya Sheria.
B) Vitabu vya hekima,
C) vitabu vya historia..
D) vitabu vya Manabii.
2. Eleza namna kiebrania kinavyoandikwa..
3.Types of sinners,
A)Heart hardened sinner's (Wadhambi wenye mioyo migumu)
B)Self righteous sinners.
C) Complacent sinners.
D) Repentant sinners .
4.let us make man in our own image after our likeness (Gen1:26).
A) identify the speaker.......
B) Give One reason as to Why the speaker used the prural form...
Kabudi kazingumzia pia Ethics,
Ethics/Morals/Maadili ambapo Dini/Religion imejimilikisha kwa Asimilia Mia, ambacho si kitu sahihi/Si fact's, Si kwelii,.
Wanasiasa Wengi hutumia dini kutimiza malengo Yao,
Katika poor country, kama Tanzania, Dini imekuwa faraja na kimbilio kwa Matatizo mengi ya raia, ambayo yangeweza kumalizwa na Uwepo wa uchumii imara/Bora na Elimu ya kiwango Bora.
Finally, God/god's & money na Nations Great great inventions za homo sapiens..
Ni matengenezo/Man made za Human being.
Si Kila profesa ni profesa, wengine ni profesa kabudi.

Kigangoni hamfundishani dini?Ikija na kwetu itakuwa nzuri sana
Tanzania hatuna neno Upili! Ni kiswahili cha kipumbavuShule ya Upili.. Miaka ya nyuma huko.
Ni MkenyaTanzania hatuna neno Upili! Ni kiswahili cha kipumbavu
maneno ya kwenye biblia kwa lugha ya kiingereza yalikuwa yananichanganya tubible knowledge hakya mungu nlilipenda somo hilo,mwalimu gimbagu why ulihama shule mapema ungali bado tulikuhtaji?
bible ukiisoma vizuri,nakuhakikishia somo kama history na english hautafeli kamwe. Kiingereza kinachotumiwa ktk bible kinamfanya msomaji atumie maarifa makubwa na fikra pana kuelewa. Hivyo past tenses na kiingereza chako lazima kikue na ufaulu ktk masomo hayo uongezeke.maneno ya kwenye biblia kwa lugha ya kiingereza yalikuwa yananichanganya tu
Kitimoto haijazuiwa vitabuni 😃kama nilivyosema awali hata kitimoto ni ya wote tu gentleman haina ubaguzi 🐒
kweli mkuu, aliyekuwa anafundisha alikuwa mmalawi...basi nikawa siokoti kitu..nikija kwa biblia ya kiswahili naona nayamudu narudi tena kwa kipindi cha kiingereza..mwisho nikanyosha mikono juu..maana walinitisha kwamba nikifanya mtihani wa necta tu, nitatakiwa kuenelea kulisoma ngazi zote, nikaogopabible ukiisoma vizuri,nakuhakikishia somo kama history na english hautafeli kamwe. Kiingereza kinachotumiwa ktk bible kinamfanya msomaji atumie maarifa makubwa na fikra pana kuelewa. Hivyo past tenses na kiingereza chako lazima kikue na ufaulu ktk masomo hayo uongezeke.
CCM ndiyo chanzo kikuu cha maadili mabuvu waanze wao kuacha tabia ya unyumbu wa kisiasa, a.k.a kujizima data, yaani kuahirisha kufikiri kizalendo, (uchawa)Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Kwny mchakato wa katiba mpya, nilimuheshimu mno Kabudi na kudhani anajitambua. Lakini baadae nilikuja kupata wasiwasi sana.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari