macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mbona kina askofu Shoo ndiyo wala milungala wakubwa wakati wamesoma biblia herufi kwa herufi?unafikiri kuwa wanaovunja maadili hawajui kuwa nikosa kufanya hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kina askofu Shoo ndiyo wala milungala wakubwa wakati wamesoma biblia herufi kwa herufi?unafikiri kuwa wanaovunja maadili hawajui kuwa nikosa kufanya hivyo?
Biblia inatumiwa na dini zoteKwny mchakato wa katiba mpya, nilimuheshimu mno Kabudi na kudhani anajitambua. Lakini baadae nilikuja kupata wasiwasi sana.
Hivi anavyosema mtaala wa biblia uzingatiwe mashuleni, hajui kuwa mh raisi ni muislamu?
Na uprofesa wake, hajui kuwa nchi hii kuna imani zaidi ya kumi?
Zote ziingizwe kwny mitaala?
Ni uprofesa wa aina gani huu?
Kuwa Prof.haina maana kwamba una akili,very low social intelligenceWaziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Anakopy kutoka kwa Donald TrumpWaziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Very sad!Biblia inatumiwa na dini zote
Kanisa linao utaratibu wake hata jinsi ya kugawa vitabu vya mafundisho mbali mbali,na hilo linafanyika bila msukumo wa kisiasa.Nafikiri mfumo huo ungeachwa ujiendeshe bila kuwepo maslahi kutoka mifumo mingine.Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Usisahau hapa nchini kuna pia waumini wa Hindu, Kalasinga, Ismailia, Ethiest, Enimist na kadhalikaNa Quran vipi ?😏
We msenge usirudi tena Jeiefu mbwajikeweMaadili yameandikwa kwenye biblia?
Amri kumi za Mungu?
1. Usiue
2. Usijambe
3. Usibomoe mbunye
4. Usibomoe vinyeo
5. Muheshimu samia
6. Toa sadaka kwa mwamposa
7. Usinyonye hogo
8. Muheshimu kadinali Pengo
9. Usiendeshe vieite
10. Msikilize Mbowe
Cc: Nyani Ngabu DR Mambo Jambo Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable Lloyd Munroe Yohimbe bark Mzee wa kupambania gallow bird Mbaga Jr Lamomy Poor Brain min -me Tlaatlaah
Mpaka wasio na Dini wapo huku maporini nilipo wamejaa teleUsisahau hapa nchini kuna pia waumini wa Hindu, Kalasinga, Ismailia, Ethiest, Enimist na kadhalika
Mkuu kipindi cha Magufuli, huyo Profesa alivyo kuwa anajizima data na kuongea hovyo alikuwa hasomi biblia???Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Mkuu leo unatofautiana na kiranja wako???ni muhimu mno elimu hiyo ikatolewa huko huko makanisani kwa wenye imani hiyo pamoja na biblia bure, nadhani itapendeza zaidi na kuepusha usumbufu kwa wasio husika 🐒
Prof. Kabudi yupo sahihi sana, Mungu ambarikiWaziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist
Source Mwananchi
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Safi kabisamimi nimesoma hivyo hivyo, tangu kidato cha kwanza hadi cha nne...bible knowledge lazima kusoma kwa kila mtu alafu kila baada ya miezi sita tulikuwa tunagawiwa biblia mpya..ya kiswahili na kiingereza kila mtu. Full upendo yaani
🤣 🤣 🤣Prof. Kabudi, kabugi.
Ukristo haukuja kwa special people, Yesu Kristo alikuja kwa wote....maagizo na amri katika Biblia ni kwaajili ya wote, kama wewe huusiki, wengine wanahusika hata kama ni Waislam so tulizani muhimu mno elimu hiyo ikatolewa huko huko makanisani kwa wenye imani hiyo pamoja na biblia bure, nadhani itapendeza zaidi na kuepusha usumbufu kwa wasio husika 🐒
Kitimoto ni kwa Waislam zaidi sikuhizi, unataka takwimu?kama ilivyo kitimoto right?🐒
🙋♂️🎯👌👊👏🤝🗼👍🙏Inakuwaje Japan, Biblia na Quran hazipo kama Tanzania lkn bado Wana maadili! Kabudi Aache kupiga siasa
Mswahili anapokataa kiswahili!!!Ni Mkenya