Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

Profesa kabudi amesoma mpaka darasa la ngapi? Excuse my question.

Watoto hawatakuwa na maadili kama watu wazima hawana maadili, Maadili hayaji kwa kujifunza bible. Watoto wanajifunza kwa kuona sio kuambiwa.

Watoto ni zao la jamii, hivyo tuanze na watu wazima kwanza.
 
Kwny mchakato wa katiba mpya, nilimuheshimu mno Kabudi na kudhani anajitambua. Lakini baadae nilikuja kupata wasiwasi sana.

Hivi anavyosema mtaala wa biblia uzingatiwe mashuleni, hajui kuwa mh raisi ni muislamu?

Na uprofesa wake, hajui kuwa nchi hii kuna imani zaidi ya kumi?

Zote ziingizwe kwny mitaala?

Ni uprofesa wa aina gani huu?
Biblia inatumiwa na dini zote
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Kuwa Prof.haina maana kwamba una akili,very low social intelligence
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Anakopy kutoka kwa Donald Trump
 
Watu wote wanatakiwa wafundishwe KWELI na haki.
KWELI iwawekayo huru bila kujali dini, itikadi (Chama cha siasa) , kabila jinsia au makundi mengine ya kimaslahi.
 
Biblia inatumiwa na dini zote
Very sad!

Ndugu, unajua unachozungumza?
Wahindu wanatumia Biblia?
Wabudha je?
African religions?
Shinto?
Wicca?
Masanva?
Confucianism?
Wabhasana?
Waswezi?
Ismailia?

Wote hapo juu wanatumia Biblia?

Duniani kote, kuna watu karibu bilioni 10.

Wanaotumia biblia hawafiki bilioni moja.

Hivyo, asilimia karibu 90 ya watu duniani hawajui Biblia ni kitu gani!

Wewe na huyo Kabudi wako, mjitahidi kuwa mnajielimisha kukwepa aibu.
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Kanisa linao utaratibu wake hata jinsi ya kugawa vitabu vya mafundisho mbali mbali,na hilo linafanyika bila msukumo wa kisiasa.Nafikiri mfumo huo ungeachwa ujiendeshe bila kuwepo maslahi kutoka mifumo mingine.
 
Maadili yameandikwa kwenye biblia?

Amri kumi za Mungu?

1. Usiue

2. Usijambe

3. Usibomoe mbunye

4. Usibomoe vinyeo

5. Muheshimu samia

6. Toa sadaka kwa mwamposa

7. Usinyonye hogo

8. Muheshimu kadinali Pengo

9. Usiendeshe vieite

10. Msikilize Mbowe

Cc: Nyani Ngabu DR Mambo Jambo Lucas Mwashambwa chiembe ChoiceVariable Lloyd Munroe Yohimbe bark Mzee wa kupambania gallow bird Mbaga Jr Lamomy Poor Brain min -me Tlaatlaah
We msenge usirudi tena Jeiefu mbwajikewe
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Mkuu kipindi cha Magufuli, huyo Profesa alivyo kuwa anajizima data na kuongea hovyo alikuwa hasomi biblia???

Wala rushwa na wakandamizaji wa haki za watu hawaendi Kanisani???

Aache upotoshaji.
 
ni muhimu mno elimu hiyo ikatolewa huko huko makanisani kwa wenye imani hiyo pamoja na biblia bure, nadhani itapendeza zaidi na kuepusha usumbufu kwa wasio husika 🐒
Mkuu leo unatofautiana na kiranja wako???
 
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari

Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka

Kabudi amesema hayo kwenye Ibadan ya kumuweka wakfu askofu Mbwaga wa Kanisa la Baptist

Source Mwananchi

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
Prof. Kabudi yupo sahihi sana, Mungu ambariki
 
mimi nimesoma hivyo hivyo, tangu kidato cha kwanza hadi cha nne...bible knowledge lazima kusoma kwa kila mtu alafu kila baada ya miezi sita tulikuwa tunagawiwa biblia mpya..ya kiswahili na kiingereza kila mtu. Full upendo yaani
Safi kabisa
 
ni muhimu mno elimu hiyo ikatolewa huko huko makanisani kwa wenye imani hiyo pamoja na biblia bure, nadhani itapendeza zaidi na kuepusha usumbufu kwa wasio husika 🐒
Ukristo haukuja kwa special people, Yesu Kristo alikuja kwa wote....maagizo na amri katika Biblia ni kwaajili ya wote, kama wewe huusiki, wengine wanahusika hata kama ni Waislam so tuliza

Torat, Zaburi na Injili mnavyo pia
 
Back
Top Bottom