Sasa hizo tutazirusha kuelekea wapi juzi shirika la ndege la Australia limeirusha dreamliner toka Uingereza hadi Australia kwa masaa 19 na DKK 19 bila kusimama popote sasa hebu tujiulize sisi machine kubwa kama hizo tutazirushia wapi?Kigoma?Canada siyo south Africa wewe kengee wa lumumba hapa ni kulipaa denii.jeuri kakutana na jeuri yake tuone sasa.na hizo ndege mzirushe humu humu ndani ikitoka nje tu zinakamatwa
Mimi sio Prof.Kabudi.What I am saying however is that we are fed up,serikali iwashuhulikie wanaofanya mchezo huu kwa nguvu zake zote once and for all.Tukiendelea kuwachekea hawa tutakula mabua.Wapotelee mbali tu.Kwa hili la Steyn, Prof Kabudi unacheza kamari. Kumbuka Serikali ya Canada ni ndoto kuingilia huu mgogoro. Nikukumbushe kuwa Mkulima Steyn ni Myahudi na kwa hiyo ni automatically ni dual citizen wa Uyahudi na city of Montreal, Canada wabobezi wa sheria ni Wayahudi, kwa taarifa fupi hii ni ndoto kushinda hii case. Canada siyo Afrika Kusini. Chonde chonde lipa deni la huyu Mkulima.
mchezo huu wa kutomlipa mkulima Styn unafanywa na serikali yenyewe .... je ? serikali ijishughulikie yeynyewe? zakwako changanya na za mbayuwayuMimi sio Prof.Kabudi.What I am saying however is that we are fed up,serikali iwashuhulikie wanaofanya mchezo huu kwa nguvu zake zote once and for all.Tukiendelea kuwachekea hawa tutakula mabua.Wapotelee mbali tu.
MaCCM wajinga kama were ndo wanamshauri Rais wao mpendwa ujinga kama huu mpaka aonekane kuwa naye mjinga. Hakuna tatizo lolote la kidiplomasia kati ya hizi nchi mbili na kufunga ubalozi wa Canada hapa itabidi Rais wetu afunge pia ubalozi wetu kule madhara take yanaweza yakawa makubwa kwetu. Mahakama za kule siyo kama za kwetu ambazo zinahukumu kutokana na maagizo toka juu kwa hiyo Canada haiwezi kuingilia. Dawa ya deni ni kulipa hata kama ndege ingenunuliwa Brazil au kokote ingekamatwa tuu.Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Kwanini hakukamata Dreamliner USA? Hii ni ndege ya pili inakamatwa Canada.
Hilo Ni Deni Sio Kesi, Kesi Ilishaisha Na Tukakubali Kulipa Deni, Tulilipe. Utapeli Sio MzuriKama wanawaogopa wazungu wa bombardier, bado kwa sheria zetu hatuna international agreement za kusikiliza kesi za ardhi nje ya nchi huyo mkulima lazima arudi nyumbani tu kuleta madai yake.
Ngoja tukaombe ushauri kwa jirani yetu slim namna ya kumaliza hii kadhia once and for all.huyo mtu ni king'ang'anizi yyani kashindwa kesi mara mbili zote haoni aibu
dawa ya watu kama hawa ndogo tu
Tatizo deni lenyewe nalo liliongezekea katikati. Na huyo mtu ajafungua kesi Tanzania ya madai serikari imeshindwa kumlipa bali anakimbilia mahakama za kimataifa kwa madai ndani atosikilizwa.Hilo Ni Deni Sio Kesi, Kesi Ilishaisha Na Tukakubali Kulipa Deni, Tulilipe. Utapeli Sio Mzuri
Gharama iliyotumika kukimbia hilo Deni mpaka sasa ni kubwa sana kuanzia Rushwa South Africa malazi posho kodi ya maegesho ya Ndege na mengineyo ni mara 100 wangepunguza Deni kuliko kuendekeza ligi ya kishamba toka kolomije na ugogoni kwa KabudiTatizo deni lenyewe nalo liliongezekea katikati. Na huyo mtu ajafungua kesi Tanzania ya madai serikari imeshindwa kumlipa bali anakimbilia mahakama za kimataifa kwa madai ndani atosikilizwa.
Why so?
Wakamate chato Airport na nyumba mali zote za Naibu Rais Daud Bashite kufidia Deni hiloNaomba Steyn akamate hata Ikulu zote (ya Dsm na Dom) ili Jiwe akaishi kwenye soko la Ndugai Dodoma!
Canada hawachukui Rushwa kama South AfricaMbona naanza kuhisi kama safari hii ndege haitaachiwa..?
Ubabe wa kabudi ndiyo unaigharimu Nchi kwa sasaHilo Ni Deni Sio Kesi, Kesi Ilishaisha Na Tukakubali Kulipa Deni, Tulilipe. Utapeli Sio Mzuri
Dawa ya Deni ni kulipa siyo kupanga mipango Haramu isiyo na Tija kwa Taifa acheni kutengeneza mazingira ya kuwabambikia watu lawama zisizo zaoMimi sio Prof.Kabudi.What I am saying however is that we are fed up,serikali iwashuhulikie wanaofanya mchezo huu kwa nguvu zake zote once and for all.Tukiendelea kuwachekea hawa tutakula mabua.Wapotelee mbali tu.
Kutoka million $16 hadi sijui $33 unataka walipe just like that?Gharama iliyotumika kukimbia hilo Deni mpaka sasa ni kubwa sana kuanzia Rushwa South Africa malazi posho kodi ya maegesho ya Ndege na mengineyo ni mara 100 wangepunguza Deni kuliko kuendekeza ligi ya kishamba toka kolomije na ugogoni kwa Kabudi
Mawazo mavi haya!Mabeberu na michezo yao ya kishetani
Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu
Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Mahakamaccm inafanya kazi kwa mujibu wa fikra binafsi za Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu malaika toka chato, lakini mahakama ya canada inafanya kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba.MaCCM wajinga kama were ndo wanamshauri Rais wao mpendwa ujinga kama huu mpaka aonekane kuwa naye mjinga. Hakuna tatizo lolote la kidiplomasia kati ya hizi nchi mbili na kufunga ubalozi wa Canada hapa itabidi Rais wetu afunge pia ubalozi wetu kule madhara take yanaweza yakawa makubwa kwetu. Mahakama za kule siyo kama za kwetu ambazo zinahukumu kutokana na maagizo toka juu kwa hiyo Canada haiwezi kuingilia. Dawa ya deni ni kulipa hata kama ndege ingenunuliwa Brazil au kokote ingekamatwa tuu.