Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Canada siyo south Africa wewe kengee wa lumumba hapa ni kulipaa denii.jeuri kakutana na jeuri yake tuone sasa.na hizo ndege mzirushe humu humu ndani ikitoka nje tu zinakamatwa
Sasa hizo tutazirusha kuelekea wapi juzi shirika la ndege la Australia limeirusha dreamliner toka Uingereza hadi Australia kwa masaa 19 na DKK 19 bila kusimama popote sasa hebu tujiulize sisi machine kubwa kama hizo tutazirushia wapi?Kigoma?
 
Kwa hili la Steyn, Prof Kabudi unacheza kamari. Kumbuka Serikali ya Canada ni ndoto kuingilia huu mgogoro. Nikukumbushe kuwa Mkulima Steyn ni Myahudi na kwa hiyo ni automatically ni dual citizen wa Uyahudi na city of Montreal, Canada wabobezi wa sheria ni Wayahudi, kwa taarifa fupi hii ni ndoto kushinda hii case. Canada siyo Afrika Kusini. Chonde chonde lipa deni la huyu Mkulima.
Mimi sio Prof.Kabudi.What I am saying however is that we are fed up,serikali iwashuhulikie wanaofanya mchezo huu kwa nguvu zake zote once and for all.Tukiendelea kuwachekea hawa tutakula mabua.Wapotelee mbali tu.
 
mchezo huu wa kutomlipa mkulima Styn unafanywa na serikali yenyewe .... je ? serikali ijishughulikie yeynyewe? zakwako changanya na za mbayuwayu
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu

Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
MaCCM wajinga kama were ndo wanamshauri Rais wao mpendwa ujinga kama huu mpaka aonekane kuwa naye mjinga. Hakuna tatizo lolote la kidiplomasia kati ya hizi nchi mbili na kufunga ubalozi wa Canada hapa itabidi Rais wetu afunge pia ubalozi wetu kule madhara take yanaweza yakawa makubwa kwetu. Mahakama za kule siyo kama za kwetu ambazo zinahukumu kutokana na maagizo toka juu kwa hiyo Canada haiwezi kuingilia. Dawa ya deni ni kulipa hata kama ndege ingenunuliwa Brazil au kokote ingekamatwa tuu.

hayo ndio matatizo ya kulipa ndege cash, mawakili waliojitapa wasomi hamna kitu baada ya kushinda kesi walitakiwa kudai fidia ya usumbufu hawakufanya hivyo lakini
 
Kwanini hakukamata Dreamliner USA? Hii ni ndege ya pili inakamatwa Canada.

Mimi siyo mwanasheria hivyo sijui; pengine wewe unajua. Labda ni kwa sababu Canada sheria zao zinafanana na kwetu kwa vile ni member of commonwealth!
 
huyo mtu ni king'ang'anizi yyani kashindwa kesi mara mbili zote haoni aibu
dawa ya watu kama hawa ndogo tu
Ngoja tukaombe ushauri kwa jirani yetu slim namna ya kumaliza hii kadhia once and for all.
 
Hilo Ni Deni Sio Kesi, Kesi Ilishaisha Na Tukakubali Kulipa Deni, Tulilipe. Utapeli Sio Mzuri
Tatizo deni lenyewe nalo liliongezekea katikati. Na huyo mtu ajafungua kesi Tanzania ya madai serikari imeshindwa kumlipa bali anakimbilia mahakama za kimataifa kwa madai ndani atosikilizwa.

Why so?
 
Tatizo deni lenyewe nalo liliongezekea katikati. Na huyo mtu ajafungua kesi Tanzania ya madai serikari imeshindwa kumlipa bali anakimbilia mahakama za kimataifa kwa madai ndani atosikilizwa.

Why so?
Gharama iliyotumika kukimbia hilo Deni mpaka sasa ni kubwa sana kuanzia Rushwa South Africa malazi posho kodi ya maegesho ya Ndege na mengineyo ni mara 100 wangepunguza Deni kuliko kuendekeza ligi ya kishamba toka kolomije na ugogoni kwa Kabudi
 
Naomba Steyn akamate hata Ikulu zote (ya Dsm na Dom) ili Jiwe akaishi kwenye soko la Ndugai Dodoma!
Wakamate chato Airport na nyumba mali zote za Naibu Rais Daud Bashite kufidia Deni hilo
 
Inasikitisha sana kuona baadhi ya watu wakishangilia na wengine kuvuka mipaka mpaka kutoa kejeli na kauli zisizofaa kwa viongozi wetu na kuwalaumu kwa yaliyotokea.

Ile ndege sio ya CCM, wala kiongozi yoyote yule bali ni ndege ya Watanzania wote na imenunuliwa kwa pesa ya walipakodi wa Watanzania kila mmoja wetu anapaswa kusikitika ama kuumia kwa kilichotokea.

Tanzania kwanza haya mambo mengine ya upinzani badae maana hata wakiingia upinzani madarakani watazitumia ndege hizo hizo tupingikane na kukosoana kwa maendeleo ya nchi yetu sote.

Napenda kuona viongozi wa upinzani na wa chama tawala wakiraruana kwa hoja nzito kwa maendeleo ya watanzania tupingane, tukosoane tusemane kwa mambo yetu ya ndani na lengo likiwa moja tu kutaka Tanzania mpya ya maziwa na asali.

Ila linapokuja suala ambalo linahusu kuitetea Tanzania basi wote tuungane na kuwa kitu kimoja na sio kugawanyika na kuwapa maadui zetu point tatu za kutumaliza ila tukiwa wote pamoja kwenye mambo ya kitaifa kama haya ya kushikiliwa kwa ndege yetu hata maadaui wtaogopa kutuingilia kutokana na umoja wetu wenye nguvu.

Tanzania inaongozwa na binadamu na wala sio malaika na Tanzania haiongozwi na shetani bali ni binadamu pia so mapungufu madogo madogo kwa binadamu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza ni ya kawaida, ambayo hata wewe na mimi tunayo japo tunatofautiana hayo mapungufu kikubwa ni kuvumiliana na kuungana kuwa kitu kimoja.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki Watanzania
 
Mimi sio Prof.Kabudi.What I am saying however is that we are fed up,serikali iwashuhulikie wanaofanya mchezo huu kwa nguvu zake zote once and for all.Tukiendelea kuwachekea hawa tutakula mabua.Wapotelee mbali tu.
Dawa ya Deni ni kulipa siyo kupanga mipango Haramu isiyo na Tija kwa Taifa acheni kutengeneza mazingira ya kuwabambikia watu lawama zisizo zao
 
Gharama iliyotumika kukimbia hilo Deni mpaka sasa ni kubwa sana kuanzia Rushwa South Africa malazi posho kodi ya maegesho ya Ndege na mengineyo ni mara 100 wangepunguza Deni kuliko kuendekeza ligi ya kishamba toka kolomije na ugogoni kwa Kabudi
Kutoka million $16 hadi sijui $33 unataka walipe just like that?

Anyway ngoja tuone utaishia vipi
 
MaCCM wajinga kama were ndo wanamshauri Rais wao mpendwa ujinga kama huu mpaka aonekane kuwa naye mjinga. Hakuna tatizo lolote la kidiplomasia kati ya hizi nchi mbili na kufunga ubalozi wa Canada hapa itabidi Rais wetu afunge pia ubalozi wetu kule madhara take yanaweza yakawa makubwa kwetu. Mahakama za kule siyo kama za kwetu ambazo zinahukumu kutokana na maagizo toka juu kwa hiyo Canada haiwezi kuingilia. Dawa ya deni ni kulipa hata kama ndege ingenunuliwa Brazil au kokote ingekamatwa tuu.
Mahakamaccm inafanya kazi kwa mujibu wa fikra binafsi za Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu malaika toka chato, lakini mahakama ya canada inafanya kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba.
 
Back
Top Bottom