Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Si vibaya ni haki yake - watu wasipopata maendeleo ndani ya CUF watayatafuta kwingine.
Haki sawa kwa wooote. Nisichojua ni kuwa Dada Victoria "atauwachia" Ubunge wake na kumufwata Mwenyekiti kunako kwa Mama Mghwira..
 
Mkuu Molemo, asante kwa Taarifa, Prof. Lipumba kisiasa ni spent force, Zitto anamkaribisha tuu ili kumtumia kama mtaji kwa kuwavuta wale wafuasi wake bendera fuata upepo ili aipasue CUF na kuiimarisha ACT kwa kupanua wigo wa membership base tuu lakini kiukweli Lipumba hana lolote jipya atakalofanya CUF kwa sababu Uenyekiti wa ACT, ni uenyekiti kilemba cha ukoka tuu, all the powers lies with ZZK, Lipumba kwa vile ni power monger, can't stand kufanywa boya hivyo he will demand real powers na hapo ndipo itakapoibuka vita na mwenye chama chake! .

Hivi Prof. Lipumba ni lazima tuu awe Mwenyekiti? . Hawezi kuwa mwanachama tuu wa kawaida?!.

Pasco
Umeanza kurudi kwenye mstari sasa hongera sana
 
Wakimpokea Lipumba wategemee kufa kwa ACT kabisa. Kwa taarifa ametumwa kufanya kazi yake. Ni maandalizi ya 2020!!! Take my words!! Ni hivi 2010 Mgawo wa kura utakuwa ni mkubwa sana i.e mchuano kwa misingi hii maandalizi ya kuua kila upenyo hayana budi kufanyika haraka sana. Kama aliweza kutumika 2015 basi 2020 atatumika zaidi.
Eti mh. Baada ya kuapishwa tu kesi ikafutwa
 
Si jambo la ajabu sana kwenda huko maana wote kiitikadi (Zitto na Lipumba) ni sawa. Sale outs. Hakuna jipya. Kwa wasiolewa watashangalia lakini hii ni political strategy ya CCM kucheza na akili za watu. Ni dhahiri kuwa ACT ni CCM B na kipindi cha uchaguzi kina Slaa walipokuwa wanakaa Serena kwa siri akikutana na Mwakyembe na Lipumba kwenda vacation Rwanda halafu States sasa ni wakati wa kutumikia ruzuku waliozokula. Hamjiulizi Lipumba alikuwa wapi siku zote toka alipojiuzulu asidai ueneyekiti wake tena mpaka juzi na baada ya kuja tu CUF imesambaratika. Alikuwa kwenye mission kaitimiza.

Dhamira hapa ni kudhoofisha upinzani. Kitakochofuata Slaa nae atajiunga ACT na wale wachumia tumbo wa upinzani wote watakwenda huko pia kujifanya wanapigania nchi.

CUF tayari kuna mtafuruku ambao Lipumba ana mkono wake, CHADEMA napo hakukaliki kina Lema na Lissu kutwa wapo lupango, mwenyekiti anadhoofishwa kiuchumi, muda si mrefu watakuwa chali. Hapo sasa ACT wataonekana ndio tegemezi la wanyonge while in reality ni decoy tu.

Come 2020 aidha Lipumba ama Slaa atasimama kugombea urais ambapo in reality itakuwa ni CCM A versus CCM B na mshindi mnajua atakuwa nani. Na hii ndio Tanzania yetu ya kidemokrasia na amani tele............................
Mliokuwa mnasema CCM B ni Cuf imegeuka Leo imekuwa act hata shetani anashangaa unafiki wenu ninyi wajanja nccr Cuf mmeichinjia bahari kazi nzuri mmefanya RAIS awape tuzo
 
Banaee...ahamie Ata sieni dedee efu dedee au aamie Rwanda...chyaaa!! Profesaaaprofesa!! Hatuoni tija hata Cuf haijawahi kukuwa kiuchumi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom