#COVID19 Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania


Corona haina kushitakiana ina kujitoa muhanga kwa kusaini mnyewe.
 
Corona hina kushitakiana ina kujitoa muhanga kwa kusaini mnyewe.
Unadhani kama chanjo ikiua watu in the next few days hizo kampuni zitabaki kuwa kampuni ?, Au Kampuni ilikuwa founded kwenye 1800's itajikuta imekuwa historia due to bad publicity ?

Huku sio kama kushona shati ukikosea unafumua unashona tena...
 
Unadhani kama chanjo ikiua watu in the next few days hizo kampuni zitabaki kuwa kampuni ?, Au Kampuni ilikuwa founded kwenye 1800's itajikuta imekuwa historia due to bad publicity ?

Huku sio kama kushona shati ukikosea unafumua unashona tena...

Iue mara ngapi?
 
Tulibahatisha kwenye chanjo ya kuku tumeona sasa mchezo umekolea na sasa ni chanjo za binadamu.

Hatuwezi kutengeneza hata chanjo ya bangi sembuse ya Corona!
 
Hao wanasanyansi wazalendo walio mbioni walikuwa wanafanyakazi gani enzi za Magufuli?
 

Wanaleta usanii kwenye nyumba ya wasanii.

Huenda Steve Nyerere pia alikuwapo hapo.
 
Ukichaaaa
 
Kwa bahati mbaya Mama kashaeweka oda ya chanjo milion 20 tena! Sidhani kama iyo anaweza kuiamini akapqta ujasiri wakusema kuwa ile chanjo ya nje hatuitaki tutuimie yetu
 

Atatumia yeye na wanaccm maana ndio huwa wanawaamini hawa wasomi uchwara.
 
Labda chanjo ya kukata mauno TOT band wakti wa kampeni
 
Hii chanjo ndio itakuwa hatari kwa maisha ya kiumbe hai chochote.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah
 
Hizi ndizo habari tunataka kusikia, sio ujinga ujinga tu kama vingwendu.
Asante sana umesoma vizuri sana mawazo yangu. Kwa mara nyingine asante sana.
===
Kwa sababu za kiusalama ilitakiwa iwe siri mpaka chanjo ipatikane......vinginevyo hujuma ipo nje nje! Hatujasahau wataalamu wa Iran walivyouliwa kwa mazingira tata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ