#COVID19 Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

Hongereni na natumaini inawezekana; kwani hao waliogundua chanjo wamesoma mbinguni; si wengine mlisoma nao mkawagaraza darasani... mbona nchi nyingine wanaweza? Inabidi kuwa wabunifu tu kuangaliana na mazingira yetu (chanjo zinazohitaji kuhifadhiwa kwenye baridi kali hazituwezi); chanjo zinazoharibika mapema hazituwezi... chanjo ni sayansi tu.. kama mnavyo vinavyotakiwa kwanini msiweze.?

I FULLY SUPPORT YOUR EFFORTS.. ni bora ujaribu ushindwe, kuliko ushindwe usijaribu!
 
Mhh! ni lini hiyo chanjo wameanza kujaribu kuitengeneza? Mbona kimya kimya hivyo!!!
 
Ndio maana wengine tunapambana tupate hii chanjo ya kwanza hii ya kibongo hapana kwa kweli
 
Asante sana umesoma vizuri sana mawazo yangu. Kwa mara nyingine asante sana.
===
Kwa sababu za kiusalama ilitakiwa iwe siri mpaka chanjo ipatikane......vinginevyo hujuma ipo nje nje! Hatujasahau wataalamu wa Iran walivyouliwa kwa mazingira tata!

I hope hatawaonyesha wafanyabiashara wa chanjo, hao wataalam wako wapi na ni akina nani. Kumbuka ccm hawaachianagi vikombe vya maji katika mikutano yao.
 
Watengeneze kwanza ya mafua ya kawaida
 
Hizi ndizo habari tunataka kusikia, sio ujinga ujinga tu kama vingwendu.
Changa la macho hili ili washawishi watu wachanje kuwa za kwetu. Walishindwa nini kipindi JPM anawashawishi watengeneze chanjo zetu, mask zetu nk. Watanzania sisi we are not smart. Tunapenda vya denzo
 
Hiyo ndiyo itatumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…