Prof Mohammed Hassen: Ethiopia anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar. TISS hawajui!?

'veteran communist'..hao hupinga ubinafsishaji
UAE siyo bandari za Africa tu,wana-operate hadi za ulaya na sometimes za marekani
 
Acha mbaa mbaa leta hio mikataba ya DP world na wazungu inayosema sisi tunapigwa
Na huyu mjinga analeta consipracy theories za kipumbavu kwa kuwa kuna nyumbu kama nyinyi mtameza kila upupu
Kojoa ulale mlisema wakichua gharama zitapungua mbona saivi mnatoza kila gari kodi ya kuboresha bandari !?
 
Kojoa ulale mlisema wakichua gharama zitapungua mbona saivi mnatoza kila gari kodi ya kuboresha bandari !?
Hapa utaenda wewe kulala, na kukimbia huu upupu ulioleta
Unaleta mbaa mbaa za dhanania.
Unataka mzigo utoke mapema halafu ulipe hela kiduchu,
Leta hapa ushahidi wa ucheleweshaji mizigo kipindi hiki kulinganisha na zamani ndio ulielie
Niko radhi kulipa nyongeza kama mzigo wangu ukifika hauchelewi kutoka, kuliko zamani nilipe hela ndogo halafu nisubiri miezi mitatu
 
'veteran communist'..hao hupinga ubinafsishaji
UAE siyo bandari za Africa tu,wana-operate hadi za ulaya na sometimes za marekani

07 May 2026

Mchambuzi Mkuu wa Vita vya Iran Asema Wimbi la Ukoloni Mpya wa Afrika Umeanza na Ndani ya muda mfupi litatua Katika Pwani ya bara hilo

View: https://m.youtube.com/watch?v=hw2OHVvF-os
Katika mahojiano yake ya kwanza kabisa kuhusu mada ya Afrika, na vyombo vya habari vya Kiafrika, Profesa Robert Pape, mchambuzi tajwa mashuhuri wa kijeshi wa Marekani na Mshauri wa Rais, anatoa maelezo ya kina kabisa kuhusu athari za muda tulionao unaotugusa na za muda mrefu za vita nchini Iran katika bara la Afrika na anaelezea ukweli mchungu unaowakabili viongozi wa Biashara na siasa wa Kiafrika ikiwa hawajajiandaa.
  • Bei za mafuta
  • Mbolea / fertilizer
  • Mfumuko wa bei za vyakula
  • Kuanguka kwa thamani ya fedha
Tatizo kubwa la ukosefu wa chakula halitaanza katika mashamba yaliyopo barani Afrika bali katika usambazaji wa mbolea na vyakula zitokavyo mbali kwa njia ya bahari vinavyoagizwa na mataifa ya afrika n.k

Chico Unscripted ipo ili kuleta mazungumzo yasiyochujwa, ya uwazi, bila kupepesa macho na yenye mguso kwenye siasa na biashara za kimataifa, iki shepu akili na sera za viongozi wa sasa na wa baadaye wa Afrika

Top Iran War Analyst Says The Recolonization Of Africa has begun:
Source : Chico Unscripted
 
TISS ipo overrated sana . TISS ni ya watanzania na inaongozwa na watanzania . Viongozi wa serikali pia ni watanzania na watanzania ni wa Africa kama unavyoona viongozi wa Africa ndivyo ilivyo na intelligence system zao ivyo ivyo nothing new.
Africa ni BARA LA GIZA na hakuna kizuri kinachotoka AFRICA , kama kipo kitaje?
 
Huyo professor Mohamed Hassen ambaye ndiye kadadavua hii hoja ni Mlokole?
Anatafuta kiki
Angeanza kuelezea DP world wanaiba nini Ulaya ili tuwe na ushahidi kamili maana wako huko zamani, halafu ndio alete huu upupu dhanania( conspiracy theories)
 
Anatafuta kiki
Angeanza kuelezea DP world wanaiba nini Ulaya ili tuwe na ushahidi kamili maana wako huko zamani, halafu ndio alete huu upupu dhanania( conspiracy theories)
Mkuu,
Tuwe wakweli, usilinganishe mambo yasiyofanana.

Ulaya hawawezi kuiba maana mamlaka zao zinajitambua, wataendesha kibiashara kwa mujibu wa mikataba yenye akili, sio kama kwa hizo shitholes.

Kwa mfano, mzalishaji wa mazao ya kilimo, madawa, nk anaweza ku export substandard products kwenda nchi za Afrika kama Tz, lakini kwa EU hatoboi
 
Acha mbaa mbaa leta hio mikataba ya DP world na wazungu inayosema sisi tunapigwa
Na huyu mjinga analeta consipracy theories za kipumbavu kwa kuwa kuna nyumbu kama nyinyi mtameza kila upupu
Kumbe kelele zote za hilo jinga base yake ni maneno ya huyo mkongwe aliyeshindwa maisha?!!!!🤣🤣🤣 Mi nilifikiri Kuna chochote anachokijua kuhusu hiyo mikataba. Mkuu kapotezee hako kanyumbu, katakushusha uwezo wako wa kufikiri.
 
Duu, kama Bomu basi hili ni la nyuklia
 
Ndo hapo mlipoambiwa leteni hiyo mikataba tuione, tuilinganishe na yetu ambayo mnakesha mkisema tumepigwa. Maana kwa maelezo yenu inaonekana mnaifahamu vizuri sana.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naona Hana tena Cha kuandika.....labda anatafutatafuta chochote kutoka kwa hao communists atupie
 
Kumbe kelele zote za hilo jinga base yake ni maneno ya huyo mkongwe aliyeshindwa maisha?!!!!🤣🤣🤣 Mi nilifikiri Kuna chochote anachokijua kuhusu hiyo mikataba. Mkuu kapotezee hako kanyumbu, katakushusha uwezo wako wa kufikiri.
Unajulikana huna akili zaidi ya uchawa, huna data zozote kazi yako ni kusifia na kupinga chochote kinachokwenda kinyume na chama lako pendwa, bro uko backward sana na akili za kurudishana nyuma kimaendeleo
 
Kumbe kelele zote za hilo jinga base yake ni maneno ya huyo mkongwe aliyeshindwa maisha?!!!!🤣🤣🤣 Mi nilifikiri Kuna chochote anachokijua kuhusu hiyo mikataba. Mkuu kapotezee hako kanyumbu, katakushusha uwezo wako wa kufikiri.
Wewe ndio umeshindwa maisha mpaka umeamua kuwa chawa ulipwe buku7
 
Halafu panaibuka wadini kutetea ushenzi huo kwa kuwa hao wakoloni ni wa dini yao. Kuna mitanzania haina akili imejaa upuuzi wa kidini tu wakati nchi inaliwa na wakoloni mamboleo, watimuliwe kabla hawajaleta mapambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…