Prof Mohammed Hassen: Ethiopia anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar. TISS hawajui!?

Prof Mohammed Hassen: Ethiopia anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar. TISS hawajui!?

Mimi nadhani ipo hivi Ulaya kwa kiasi kikubwa ilijengwa na Africa ila wakati huo wazazi na babu wa kizungu waliteseka kwa ajili ya vizazi vyao na wajukuu zao hivi sasa wanakula matunda. Waarabu wamekuwa wakitamba na mafuta sasa tunapoelekea kulingana na mabadiliko makubwa ya kitechnolojia mafuata yanakwenda kuwa sio bidhaa muhimu sana sababu kutakuwa na vyanzo vingi vya nishati hapa namaanisha Clean energy from Renewable source. Sasa kwa kuwa wenzetu wanaonaga mbali naona wanaenda kushika uchumi wa Africa na sehemu nyeti za kiuchumi. Tusipokuwa macho vizazi vyetu vitaenda kuwa watamwa wa kiuchumi hatari zaidi ya ilivyo sasa. Kuna uwezekano mkubwa miaka hiyo watoto wetu wakaenda kuwatizama wanyama pori ulaya au uarabuni. Mbaya zaidi wanaweza kwenda kutengeneza classes kwenye jamii.
 
Hapa utaenda wewe kulala, na kukimbia huu upupu ulioleta
Unaleta mbaa mbaa za dhanania.
Unataka mzigo utoke mapema halafu ulipe hela kiduchu,
Leta hapa ushahidi wa ucheleweshaji mizigo kipindi hiki kulinganisha na zamani ndio ulielie
Niko radhi kulipa nyongeza kama mzigo wangu ukifika hauchelewi kutoka, kuliko zamani nilipe hela ndogo halafu nisubiri miezi mitatu
Wewe na nani?
 
Ukweli ni kwamba, haitowezekana kupewa mkataba sawa wa maslahi kati ya UAE na nchi za Ulaya.

Hili swala lilishatokea hata kwa Somaliland, wakaopt kuvunja mkataba kama sijakosea.

Anayehoji kama fedha inapatikana, kwa nini kuwe na tozo ya uendelezaji bandari asikilizwe.

Sio tu mizigo kutolewa haraka ila wanatakiwa wajue mambo engine ya nchi yao.

Unapo komaa lazima alete mkataba, je hiyo mkataba ni ya wazi au imefichwa kama huu wa kwetu wa kimangungo
Mwekezaji
Mwekezaji mwenyeji au mgeni Kutoka Uarabuni?
 
Samia katuuza watanganyika.Pamoja na kutudanganya kuwa bandari ya Dar ingeongeza ajira na mapato baada ya kuiuza lakini kila mtanganyika amejionea uchumi wetu umekufa kabisa hadi zaidi ya 70%kuishia kula mlo mmoja tu kwa siku.
 
Sasa hapa naanza kuamini ukima wako mwanzo nilikataa kua ww sio kima but naanza kuamini!! Yaan mikataba ya maslahi unataka uilinganishe Europe na Tanzania? Kwamba bongo mikataba yao ina maslahi kuliko mikataba ya wazungu kwa wawekezaji? No way out jina la kima umestahili..
Yaan umekosa watu wa kubishana nao unabishana na Makebo mkuu hauoni km unapoteza muda?
 
View attachment 3603204
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
Kwa taarifa yenu biashara haswa anayoitaka DP World huku Afrika Mashariki ni ile ya madini ya DRC, huwezi kuizungumzia bandari ya TPA bila kuizungumzia SGR inayokwenda kutoa mzigo kutoka Congo ikauleta Rwanda kisha ukaja bandarini kwa kutumia reli.

Kuna mnyororo mzima wa uletaji wa mzigo kutoka huko ndani ya afrika kuja huku bandarini, ni sehemu ya mapato makubwa ya nchi zenye bandari.

Kule Lobito Angola pia kunategemewa kufanyika biashara za kuutoa mzigo Zimbabwe na Angola kuupeleka bandarini ili uondoke na meli kwa njia ya Atlantic Ocean.

Majungu ya umiliki wa DP World hayana faida yoyote, hawa ni wawekezaji wa kimkakati barani Afrika.
 
Misingi ya ujamaa si ilikuwa na msngi wa kujitegemea, kushirikiana hasa wa kiafrika kwa mataifa ya kiafrika kwamba lazima yaungane (pan africanism) na kuhakikisha inamkomboa maskini kwa kupubguza gep la kipato kat ya tajri na maskini.

Ukiangalia vizur dhamira ya msingi wa ujamaa ilikuwa hiyo. Ubepar ni mfumo kandamiz kwa maskin kwa namn yoyote ile. Nenda kokote kule ubepar ukiwepo maksin wanaotokea pale wanasakaga hela ya kula tu. Kwa afrika muafrika mwenyrwe ndo alikuw maskin kuliko rang nyingine.

Una case study yoyote ya ujamaa baada ya ukolon mwa nchi yoyote Asia zaidi ya China?

sifahamu “ujamaa” maana yake nini, lkn najua kilichozifelisha nchi za afrika baada ya uhuru ni communism, na ambacho kinatisha zaidi labda ni kwamba waafrika hata hawajui kwa nini wameshindwa 60 years later baada ya uhuru wakati kulikuwa na well functioning capitalistic economic system in afrika, chukulia kwa mfano tu kncu kilikuwa chama kikubwa cha ushrika afrika, leo kwisha, angalia case study zimbabwe how communists destroyed zimbabwe, south afrika pia is going down.

halafu miaka 60 baadaye bado hata hawajajua kwa nini tulishindwa wanataka kurudia yale yale, bado wanaamini mambo ambayo yamekuwa proven to fail dunia nzima wakitegemea matokeo tofauti …
 
Tuliambiwa bandari itadharisha ajira za kumwaga ila imekuwa kinyume chake imepunguza wafanyakazi hasa waliokuwa na mikataba ya mda na vibarua

Dah. Inasikitisha Sana halafu babdari zote tumewapa kwa kipindi cha miaka zaidi ya 30
 
Back
Top Bottom