LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Ni kweli mwarabu naye anajititimua kupata makoloni na anajua waliwahi kupata nchi za afrika kufanya unyonyaji wao. Hii dini wanaitumia kupata uungwaji mkono na wako tayari kupiganisha wananchi kwa maslahi yao. Rasimali za nchi ni za kulindwa kwa nguvu zote dhidi ya njama zote toka nje. Ni bora mambo ya imani za kidini yakawekwa kando maana wanatumia dini kugawa wananchi ili wapenyeze ajenda zao za kikoloni, ukoloni mamboleo