Hata vita ya Darfur ni Nia hiyo hiyo ya UAE kumiliki Dhahabu na kuchochea vita vya huko. Hivyo hapa tusubiri hela ya majasusi ili tichague Kiongozi mwenye kuiwezesha Sera za UAEView attachment 3603204
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
Ujamaa umedumaza vipi maendeleo ?. Maendeleo ya nchi hii yanadumazwa na safu za uongozi. Idea za kijama, muundo na shughul zimaenda kibepari. Ndo mana pamoja na nchii hii kuwa maskini kuna watu wananufaik nao huohuo umaskin wetu wakiwemo wafanyabiashara na wanasiasanever trust a communist, tunakwenda kudanganywa tena for the next 50 years, baada ya uhuru walitupata wakatudanganya for the last 60 years we are still the poorest, sasa ime-expire wanakuja tena kutudanganya tu-miss opportunities tena for the next 50 years.
bottom line uae hawajakuja na vifaru kuvamia na kupora bandari zetu bali ni sisi tumezigawa bure kwa hiari, sasa analalama nini? tunaweza hata kuzirudisha kesho bandari zetu tukiamua, hivyo sielewi anachomaanisha, anaongea kama vile uae walivamia na kuzichukuwa kwa nguvu wakati ni bunge letu lilipitisha …
Mwamedi Hassen hivi hujasoma jina huyo sio John BabutistaAu huyu naye anauchukia uisilamu wanandugu!?
Ujamaa umedumaza vipi maendeleo ?
Ninaimani hii project ya UAE ingekuwa ya wamaghalibi isingekuliza mkuu, au nakosea?View attachment 3603204
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
Misingi ya ujamaa si ilikuwa na msngi wa kujitegemea, kushirikiana hasa wa kiafrika kwa mataifa ya kiafrika kwamba lazima yaungane (pan africanism) na kuhakikisha inamkomboa maskini kwa kupubguza gep la kipato kat ya tajri na maskini.baada ya uhuru nchi zote za kiafrika zilikwenda against “colonial” capitalistic economic system ambayo tayari ilikuwa well established, kwa hiyo tulitumia muda mwingi kubomoa mfumo imara wa kiuchumi uliokuwepo na uliokuwa full functional.
ndiyo maana afrika yote ilirudi nyuma baada ya uhuru vs asia waliendeleza mfumo waliachiwa na kujifunza zaidi, hawakuwaona wazungu maadui bali partners vs afrika walifundishwa capitalism ni adui hivyo wakaanza kubomoa capitalism iliyokuwepo …
Hakuna watu wa ovyo kama UAE, hawa ndiyo wamesababisha mauaji mengi Sudan, Hawapo kwenye good terms na Saudi Arabia wala Qatar, kwa wale wasiojua. Hawa wameingia mkataba na waisrael, wakati wa vita Netanyahu alikwenda UAE na kuagiza PATRIOT ANTI-MISSILE zipelekwe kule ile zisaidie kutungua ICBM na drones za Iran. Angalau Saudi Arabia ilikataa hii inayoitwa Abraham accord ya kuilazimisha nchi za ghuba ziwe na uhusiano na Israel. Hawa UAE ni wasaliti, ndiyo maana imeumizwa sana na makombora na drones za Iran.View attachment 3603204
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu
kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
Kabisa kakaNi kweli mwarabu naye anajititimua kupata makoloni na anajua waliwahi kupata nchi za afrika kufanya unyonyaji wao. Hii dini wanaitumia kupata uungwaji mkono na wako tayari kupiganisha wananchi kwa maslahi yao. Rasimali za nchi ni za kulindwa kwa nguvu zote dhidi ya njama zote toka nje. Ni bora mambo ya imani za kidini yakawekwa kando maana wanatumia dini kugawa wananchi ili wapenyeze ajenda zao za kikoloni, ukoloni mamboleo
Hatari sana hawaHakuna watu wa ovyo kama UAE, hawa ndiyo wamesababisha mauaji mengi Sudan, Hawapo kwenye good terms na Saudi Arabia wala Qatar, kwa wale wasiojua. Hawa wameingia mkataba na waisrael, wakati wa vita Netanyahu alikwenda UAE na kuagiza PATRIOT ANTI-MISSILE zipelekwe kule ile zisaidie kutungua ICBM na drones za Iran. Angalau Saudi Arabia ilikataa hii inayoitwa Abraham accord ya kuilazimisha nchi za ghuba ziwe na uhusiano na Israel. Hawa UAE ni wasaliti, ndiyo maana imeumizwa sana na makombora na drones za Iran.
Kumiliki na Dini yako kutawala AFRICA yote!View attachment 3603204
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
Kumbe usipokubali maelekezo kutoka juu unaondolewaKama viongozi wa Taasisi ndio wamekuwa wakiondoshwa kwenye nafasi zao, kiasi cha hadi kutetewa na akina Gwajima, kwa ubinadamu wao wanaweza kujikuta sasa wanaamua kuwa watulivu na usikute Taasisi kwa sasa inaongozwa na chawa mwanifu kwa utawala pasipo kujali maslahi ya nchi yetu
Sasa hapa naanza kuamini ukima wako mwanzo nilikataa kua ww sio kima but naanza kuamini!! Yaan mikataba ya maslahi unataka uilinganishe Europe na Tanzania? Kwamba bongo mikataba yao ina maslahi kuliko mikataba ya wazungu kwa wawekezaji? No way out jina la kima umestahili..Mbulula umekosa cha kujibu, unakurupuka na mikataba
Haya kalete mikataba yao na wazungu ulinganishe na wa Tanzania uonyeshe wapi wanaiba?
Bongo tuna "TEETH".View attachment 3603204
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
UAE is the future of Africa.UAE ni mafia sana
Angalia mbulula mwingine huyuSasa hapa naanza kuamini ukima wako mwanzo nilikataa kua ww sio kima but naanza kuamini!! Yaan mikataba ya maslahi unataka uilinganishe Europe na Tanzania? Kwamba bongo mikataba yao ina maslahi kuliko mikataba ya wazungu kwa wawekezaji? No way out jina la kima umestahili..
Sawa, tupia basi mikataba mkuu kama ulivyoombwa ufanye. Tunaomba data za mikataba ya ulaya na marekani kamanda wetu Ili tuone hapo tunapopigwa. Karibu sana mjuaji......Unajulikana huna akili zaidi ya uchawa, huna data zozote kazi yako ni kusifia na kupinga chochote kinachokwenda kinyume na chama lako pendwa, bro uko backward sana na akili za kurudishana nyuma kimaendeleo
Baambie bajue bandugu 🤪 !Na hizi port za Ulaya wanazoziendesha wanataka kuwaibia nini wazungu?
Acheni kuweweseka nyinyi walokole mavi,
View attachment 3603224