Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako unawaza Chato badala ya kuangalia eneo lililopendekezwa kuwa mkoa badala ya kujikita kwenye eneo la Chato tu. Ndiyo tatizo nililoliona hata kwa huyo Prof. anaongelea Chato as if mkoa utakuwa kwenye eneo la Chato tu.SAWA.
Mawazo kama haya ndio jibu sahihi kwa hoja zake, na siyo kumshambulia yeye kama ulivyofanya hapo mwanzo.
Binafsi, mimi bado nasimama na hoja zake kuhusu sifa za Chato kufanywa kuwa mkoa.
Wawakilishi wako Madiwani wa Kankonko wameshaamua tayari.Jamani sisi wa kakonko hatutaki jamani mbona mnatutenganisha na kigoma yetu sisi sio km wale wanyama waliotolewa Serengeti kupelekwa buligi
Nyie mbwa ndo hamtakiwi nchi hii maana mmejaa unafiki na mmesababisha nchi yetu imekua mbayaaa sn kwa sababu ya unafiki.....Mama pumzika zako makongo Dar ya huko waachie wana Chato na Mama Mkoa Geita wameshakubali .....acha iwe utaambiwa ya kuambiwa wilaya mojawapo au 2 Kagera itamegwa kwenda Chato....pambana na wajukuu mama awamu 6 hii sukuma gang wanalia huko legacy ......ya kulazimishia
Mkoa jina litakuwa Chato ila eneo ni zaidi ya eneo la Chato tumia ubongo wako vizuri acha wivu usiofaa.Kuwaza chato iwe mkoa ni upumbavu na ujinga kabisa. Unapoiweka chato iwe mkoa unakuwa umetazama mkoa wa geita, kagera, kigoma, na Mwanza zitaadhirikaje???? Kama wanampenda sana mwendazake waende wakalale juu ya kaburi lake.
Hakuna hoja hapo yeye anaongelea eneo la Chato wakati mkoa utakuwa zaidi ya eneo la Chato.BIMKUBWA KATOA HOJA KONKI TUPU
Hapana.Tatizo lako unawaza Chato badala ya kuangalia eneo lililopendekezwa kuwa mkoa badala ya kujikita kwenye eneo la Chato tu. Ndiyo tatizo nililoliona hata kwa huyo Prof. anaongelea Chato as if mkoa utakuwa kwenye eneo la Chato tu.
Kwa nini jina la mkoa liitwe Chato??? Kwa nini mkoa usiitwe Biharamulo au kakonko au Nyakanazi?? Kwa nini jina la mkoa mpya liitwe Chato? Na kwa nini makao makuu yawe Chato? Hii ndiyo hoja ya msingiMkoa jina litakuwa Chato ila eneo ni zaidi ya eneo la Chato tumia ubongo wako vizuri acha wivu usiofaa.
Nadhani awamu ya 4 vs 5sijui mnagombania nini
Hayo Mambo ya the so called 'Sukuma gang' ni hatari...machafuko huwa yanaanzia kwa kauli Kama hizi za ubaguzi..Mama pumzika zako makongo Dar ya huko waachie wana Chato na Mama Mkoa Geita wameshakubali .....acha iwe utaambiwa ya kuambiwa wilaya mojawapo au 2 Kagera itamegwa kwenda Chato....pambana na wajukuu mama awamu 6 hii sukuma gang wanalia huko legacy ......ya kulazimishia
Unajidanganya sanaWapo viongozi wa aina hii nchi hii, tena wengi sana
Ndugu kuna sababu gani chato kupewa kipaumbele? mbona mikoa kama Tabora,Morogoro na Mbeya ambayo ni mikubwa, yenye population kubwa na jiografia ngumu kuliko huo mkoa mpya unaopendekezwa yenyewe haipewi kipaumbele?
Mmmh hapa kuna maslahi binafsi baadhi ya wale wanaotegemea kunufaika na uanzishwaji wa Mkoa mpya hili wanalipigia upatu Mama bado ni sahihi.
Wakuu, naomba mnijuze. Hivi Chato inalingana na miji kama ya Bagamoyo, Manyoni, Kilosa , Kongwa au Itigi? Tukumbuke miji hii ilikuwa maarufu tokea ukoloni!!!!!!