Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa
SAWA.

Mawazo kama haya ndio jibu sahihi kwa hoja zake, na siyo kumshambulia yeye kama ulivyofanya hapo mwanzo.

Binafsi, mimi bado nasimama na hoja zake kuhusu sifa za Chato kufanywa kuwa mkoa.
Tatizo lako unawaza Chato badala ya kuangalia eneo lililopendekezwa kuwa mkoa badala ya kujikita kwenye eneo la Chato tu. Ndiyo tatizo nililoliona hata kwa huyo Prof. anaongelea Chato as if mkoa utakuwa kwenye eneo la Chato tu.
 
Kuwaza chato iwe mkoa ni upumbavu na ujinga kabisa. Unapoiweka chato iwe mkoa unakuwa umetazama mkoa wa geita, kagera, kigoma, na Mwanza zitaadhirikaje???? Kama wanampenda sana mwendazake waende wakalale juu ya kaburi lake.
 
Mama pumzika zako makongo Dar ya huko waachie wana Chato na Mama Mkoa Geita wameshakubali .....acha iwe utaambiwa ya kuambiwa wilaya mojawapo au 2 Kagera itamegwa kwenda Chato....pambana na wajukuu mama awamu 6 hii sukuma gang wanalia huko legacy ......ya kulazimishia
Nyie mbwa ndo hamtakiwi nchi hii maana mmejaa unafiki na mmesababisha nchi yetu imekua mbayaaa sn kwa sababu ya unafiki.....
Yaani kwa akili zako ndogo unataka chato iwe mkoa ili iweje kwa mfano
 
Kuwaza chato iwe mkoa ni upumbavu na ujinga kabisa. Unapoiweka chato iwe mkoa unakuwa umetazama mkoa wa geita, kagera, kigoma, na Mwanza zitaadhirikaje???? Kama wanampenda sana mwendazake waende wakalale juu ya kaburi lake.
Mkoa jina litakuwa Chato ila eneo ni zaidi ya eneo la Chato tumia ubongo wako vizuri acha wivu usiofaa.
 
Tatizo lako unawaza Chato badala ya kuangalia eneo lililopendekezwa kuwa mkoa badala ya kujikita kwenye eneo la Chato tu. Ndiyo tatizo nililoliona hata kwa huyo Prof. anaongelea Chato as if mkoa utakuwa kwenye eneo la Chato tu.
Hapana.
Labda wewe ndiye unayetaka nifikiri hivyo.

Kiufupi ni hivi:

Miaka yote pamekuwepo na taratibu zinazotumika na kupata vigezo vya kuianzisha hii mikoa.

Tukiondoa mifano michache, hasa ya hivi karibuni, utaratibu na vigezo hivyo ndivyo vinavyostahili kufuatwa bila kujali matakwa ya mtu au watu fulani wanaosukuma uamzi wao unaoegemea matakwa yao.

Hili ndilo tatizo nisilokubaliana nalo. Acha Chato ipitie kwenye taratibu hizo, na ikionekana vigezo vipo, basi na iwe mkoa.
 
Magufuli kwa nje mtu wa watu ila kwa ndani alikuwa mbinafsi,mroho.
Kama ni kumuenzi Magufuli futa matumizi mabovu ya kiserikali kuifanya Chato Mkoa
Tengeza vivutio vya uwekezaji,kutoka mikoa ma taasisi za kitaifa.
Labda baada ya miaka 50 Chato itapata sifa harisi za kuitwa mkoa.
 
Mkoa jina litakuwa Chato ila eneo ni zaidi ya eneo la Chato tumia ubongo wako vizuri acha wivu usiofaa.
Kwa nini jina la mkoa liitwe Chato??? Kwa nini mkoa usiitwe Biharamulo au kakonko au Nyakanazi?? Kwa nini jina la mkoa mpya liitwe Chato? Na kwa nini makao makuu yawe Chato? Hii ndiyo hoja ya msingi
 
Naona wakuu mnapoteza muda kujadili hoja za Tibaijuka....huyu mama wa Escrow anamiliki maelfu ya hekali ya ardhi mpakani mwa wilaya ya Muleba na Geita....ukianzishwa Mkoa wa Chato bila shaka ardhi yake inaweza kwenda mkoa mpya! Kule hana watu wa kurubuni kama alivyowafanya wahaya wenzake na ardhi hiyo lazima itaifishwe!
Mama na uzee wote na exposure yooote bado anawaza kwa level ya tumbo lake!
 
Kwa maoni yangu hata Kama kungekuwa na ulazima wa kuanzusha mkoa huu mpya, makao yasingekuwa Chato. Mara Mia Nyakanazi ingekuwa makao makuu kwa sababu zifuatazo;

1. Ni katikati ya maeneo lengwa na inafikika kirahisi kutokea, kibondo, Ngara, Biharamulo , Eneo la kusini mwa Muleba na Chato yenyewe kuliko Chato yenyewe iliyo pembezoni mwa maeneo tarajiwa kuunda mkoa huo mpya nk

2. Shughuri za kiuchumi pale Nyakanazi pamechangamka zaidi kuliko Chato, kilimo, ufugaji, Biashara nk eg Mnada mkubwa wa kimataifa wa mifugo Lusahunga hivyo kufanya Eneo hili kuwa kitovu Cha Biashara ukilinganisha na Chato.

3. Population ya Nyakanazi Ni kubwa kuliko Chato na inajumuisha watu kutoka maeneo mbalim mbali ya nchi yetu, inavutia kibiashara kuliko Chato

4. Nyakanazi Ni gateway to neighbours like Rwanda and DRC via Lusumo, Burundi via Ngara , Uganda via Muleba nk

Kwa sababu hizo nilizoweka hapo juu Chato hapafai kuwa makao makuu ya mkoa huo. Hata hivyo naungana na wanaosema hatuhitaji mkoa mpya kwa Sasa maana tunamuingezea mwananchi mzigo wa kugharamia shughuri za kiutawala
 
Huyu profesa si ndio alidanganya bunge na kulishauri kuhusu kujifukiza ili kupambana na korona na kutoka hapo kauli za nyungu zikaanza kuzaliwa?
 
Mama pumzika zako makongo Dar ya huko waachie wana Chato na Mama Mkoa Geita wameshakubali .....acha iwe utaambiwa ya kuambiwa wilaya mojawapo au 2 Kagera itamegwa kwenda Chato....pambana na wajukuu mama awamu 6 hii sukuma gang wanalia huko legacy ......ya kulazimishia
Hayo Mambo ya the so called 'Sukuma gang' ni hatari...machafuko huwa yanaanzia kwa kauli Kama hizi za ubaguzi..
 
Sijui kama kuna maeneo mengine yamekidhi vigezo vya kuwa mkoa kwa sababu sijui huwa wanatumia vigezo gani ndio maana nikataka kufahamu vigezo vya eneo kuwa mkoa ni vipi.
Ndugu kuna sababu gani chato kupewa kipaumbele? mbona mikoa kama Tabora,Morogoro na Mbeya ambayo ni mikubwa, yenye population kubwa na jiografia ngumu kuliko huo mkoa mpya unaopendekezwa yenyewe haipewi kipaumbele?
 
Vigezo vya eneo kuwa mkoa unavifahamu?
Mmmh hapa kuna maslahi binafsi baadhi ya wale wanaotegemea kunufaika na uanzishwaji wa Mkoa mpya hili wanalipigia upatu Mama bado ni sahihi.
 
Wewe unavifahamu vigezo vya eneo kuwa mkoa?
Umaarufu wa eneo ni kigezo kimojawapo?
Wakuu, naomba mnijuze. Hivi Chato inalingana na miji kama ya Bagamoyo, Manyoni, Kilosa , Kongwa au Itigi? Tukumbuke miji hii ilikuwa maarufu tokea ukoloni!!!!!!
 
Back
Top Bottom