Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

Kile kimama kinapenda sana ela
Za Michongo

Kwasasa ndio ivyo hana mwenye kumtafuta
yupo yupo kuvutana na
Wajukuu kugombea Vipindi nyumbani

Wakimuudhi sana wajukuu
hasira zake anaitisha press
Kumwaga Sumu zake🤔
 
Kibibi useless ni kama yule aliyemzaa mzazi wako.
Wameijaza dunia na watu useless.
 
Ccm inakufanya utukane wazee kisa siasa za mchongo umekosa maadili kabisa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani CCM iwashiwe moto na huyu?!!!! Kamwe! Kama hizi ndo akili za nyumbu basi mna Karne nyingi mno za kusubiri
Kwahiyo kama huyo bibi hawezi kuwashia moto je ninani mwenye huo uwezo?
 
Ccm inakufanya utukane wazee kisa siasa za mchongo umekosa maadili kabisa.
binafsi hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman,

hizo porojo nyingine nadhani ni utambulisho wenu umuhimu na inafahamika vizuri sana jukwaani, wala huna haja ya kusingizia wasiohusika
 
Kwahiyo kama huyo bibi hawezi kuwashia moto je ninani mwenye huo uwezo?
Mfumo wa ccm ni wa kitaalamu kama mifumo ya mossad; kule hakuna yeyote, hata kikwete, anayeweza kuiwashia moto ccm.....labda yeye ndo awashiwe moto na ccm. Tofauti na huko unyumbuni
 
tuliza ball kama hujui ufisadi wake wa zaidi ya hela ya mboga gentleman,
huyo ni fisadi halali kabisa katika nchi hii
Toa mfano. Najua aliwaudhi sana CCM alipoanzisha Baraza la Wanawake wa Tanzania.

Amandla...
 
Msako mkali, mulika tochi, Sako kwa bako mmeanza kumpondea sahv sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…