Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

Aah wapi,nakataa!
 
 
Nyumbu ni vijana wa vcccccm mfano wewe unapongeza nchimbi alivyofukuzwa ila ukiulizwa kwanini amefukuzwa hauna jibu hapo ndipo unakuwa nyumbu
Nani kakwambia mi sina jibu la kufukuzwa kwake?!!!! Ninalo na limenyooka
 
Hahahahaaaa! Umeona ee!!
Kibibi kinajipa umuhimu asiokuwa nao. Kanafiki kasicho na aibu.
Hebu tulinganishe credentials za hicho Kibibi Prof Tibaijuka na za hippopotamus Samia, academically and internationally.
 
Hebu tulinganishe credentials za hicho Kibibi Prof Tibaijuka na za hippopotamus Samia, academically and internationally.
Jipe wewe kazi hiyo sababu hauna kazi. Halafu acha kumlinganisha the Presidaa, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, na vitu vya kijinga. Mama ameishikilia nchi mikononi mwake wakati hako kabibi kalikodhamiria kutanua zaidi Ili kutamanisha zaidi kamekushikilia wewe tu.
 
Nilishawahi kuona mbwa anazaa ile yule mtoto WA kwanza anatoka akamla. Sasa, ccm sasa hivi wameua upinzani wamegeukiana wao kwa wao.

Acha wamalizane, vita vya panzi ni furaha kwa kunguru.
Juzi kuna jambo strange nilisikia mama mmoja kauza ng'ombe wake wa kisasa sababu ananyonya maziwa yake mwenyewe,nilitamani sana kushuhudia hili kwa macho πŸ˜‚
 
Reactions: rr4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…