Tatizo ushasema U-CAGHata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
bado Tulia atakumbana tu laana ya kujichanganyaAliondolewa kimagumashi sana
Yule kichomi ndugae sijui yuko wapi sasa?
Mwendazake kaacha athari kubwa sana na kuidumaza nchi yetu
Tutachukua hata miaka ishirini ili kuamka tena!
Alijiona yuko sawa na mihimili.. Kwa kuwa position yake imetajwa na katibaAliondolewa kimagumashi sana
Yule kichomi ndugae sijui yuko wapi sasa?
Mwendazake kaacha athari kubwa sana na kuidumaza nchi yetu
Tutachukua hata miaka ishirini ili kuamka tena!
Hamu...Tumemchoka nae na mindevu ile akijifanya yeye ndo yuko perfect kuliko wenzanke atulie asubiri zito kabwela akipata urahisi atamkumbuka
Anaweza kuwa na njaa ya upendo na kusamehe pale alipoudhiwa ndo maana muda wote ye povu tuWewe kilaza kwa akili yako unadhani Prof Assad ana njaa na mganga njaa kama wewe. Kwa taarifa yako Prof ana maisha mazuri kabla hajawa CAG na hata sasa ana kazi nzuri na anafanya consultancies za mabilioni. Anapoongelea masuala yanayohusu nchi anaongea kama Mtanzania mwingine yeyote mwenye haki ya kujadili mambo mbalimbali yanayohusu nchi yake na wala hafanyi hivyo eti kwa sababu anaumia kutolewa pale.
Lazima aumie kwa sababu alitolewa kihuni.Soma katiba uone jinsi anavyopatikana na kustaafu kwake.Neno dhaifu katika auditing ni neno la kifilosofia na linatumika kote kulingana na maoni ya mkaguzi.Kama mkaguzi haoni matumizi ya shs 1.5 katika kumbukumbu atatumia lugha gani kuwapasha walipa kodi?Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
Kwa hiyo hana ya kusema kwa sasa ila ni ya magufuli tu?Tatizo letu kila jambo la kusemea nchi,anaeongea anaonekana na chuki binafsi,hiviii nani anapaswa kuiongelea Tanzania tukawa na Amani nae?
Daudi mfalme,wakati anampiga Goliath, Saul alimsifia sanaa,kijana mdogo ameweza kuwapa ushindi.
Lakini alipoanza kumkosoa kuhusu namna anavyotawala,akawa adui wa nchi. Tukitaka kufanikiwa kama nchi ni vyema tujifunze kumsikiliza mtu nini anaongea kuliko kuangalia wapi ametokea. Tanzania ni yetu sote.
Mbona Dr kalemani yuko kimya tu na maisha yanaendelea kama kawaida.Mzee Assad inabidi atambue kuwa safari ya milima na mabonde ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Aondoe kinyongo moyoni na maisha yaendelee.
Usomi na hekima....[emoji120][emoji16]ambao pia hataupata kwasababu anatafuta kuwa chawa wa chadema na cuf, akimsimanga maza ambaye ni mzanzibar mwenzie. hajui kula na vipofu. usomi na hekima ni vitu viwili tofauti.
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
Mbona Dr kalemani yuko kimya tu na maisha yanaendelea kama kawaida.
Uwa madaraka ni shida sana kwa nchi zinazoendelea hasa hasa TZ.
Ebu chukulia umri alionao huo na hadhi ya u-profesa lakini bado analialia tu na Hayati kama Mtoto mdogo [emoji28]
Not true, he was about to retire, his is just raising concern of the misdeeds he witnessed while in the officeHata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
katiba inasemaje? aliondolewa vipi? sifa anazo au hana?Hao ni wale wazee wanaohisi nchi ni mali yao peke yao
Keshaongea sana. Kila siku anarudia hayo hayo. Kuna wakati alidiriki kusema mradi wa bwawa la nyerere unatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1977. Alisahau kuna ripoti inayoonyesha ulifanyiwa tena upembuzi yakinifu.Tatizo letu kila jambo la kusemea nchi,anaeongea anaonekana na chuki binafsi,hiviii nani anapaswa kuiongelea Tanzania tukawa na Amani nae?