Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.

Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.

Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
Tatizo ushasema U-CAG
 
Aliondolewa kimagumashi sana
Yule kichomi ndugae sijui yuko wapi sasa?
Mwendazake kaacha athari kubwa sana na kuidumaza nchi yetu
Tutachukua hata miaka ishirini ili kuamka tena!
bado Tulia atakumbana tu laana ya kujichanganya
 
Aliondolewa kimagumashi sana
Yule kichomi ndugae sijui yuko wapi sasa?
Mwendazake kaacha athari kubwa sana na kuidumaza nchi yetu
Tutachukua hata miaka ishirini ili kuamka tena!
Alijiona yuko sawa na mihimili.. Kwa kuwa position yake imetajwa na katiba
 
The same people ndio wanasema Propesa Lipumba ndie wanamkubali.
 
Wewe kilaza kwa akili yako unadhani Prof Assad ana njaa na mganga njaa kama wewe. Kwa taarifa yako Prof ana maisha mazuri kabla hajawa CAG na hata sasa ana kazi nzuri na anafanya consultancies za mabilioni. Anapoongelea masuala yanayohusu nchi anaongea kama Mtanzania mwingine yeyote mwenye haki ya kujadili mambo mbalimbali yanayohusu nchi yake na wala hafanyi hivyo eti kwa sababu anaumia kutolewa pale.
Anaweza kuwa na njaa ya upendo na kusamehe pale alipoudhiwa ndo maana muda wote ye povu tu
 
Huyu Mzee Asadi anafaa kuwa Mgombea Mwenza wa Raisi katika Uchaguzi wa 2025.

Atamsaidia sana Raisi Ajaye.
Ana uwezo mkubwa wa Utawala.
Umakamu unamfaa sana.
 
Hawa wote waliopata vyeo huwa tunawashauri kuwa kitu cha kwanza ni kununua shamba angalau eka 20. Panda miti ya matunda. Ukikalia kiti baada ya miaka mitano hata ukiondolewa, shamba linakuwa limeshaanza kuzaa. So unaendea kuvuta pesa.
Tatizo baadhi wanawekeza kwa vimada na miradi mingine isiyo na tija, wakiondolewa kwenye nyadhifa, wanafulia ndani ya kipindi kifupi sana na kuanza kuishi kwa frustration nyingi.
 
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.

Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.

Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
Lazima aumie kwa sababu alitolewa kihuni.Soma katiba uone jinsi anavyopatikana na kustaafu kwake.Neno dhaifu katika auditing ni neno la kifilosofia na linatumika kote kulingana na maoni ya mkaguzi.Kama mkaguzi haoni matumizi ya shs 1.5 katika kumbukumbu atatumia lugha gani kuwapasha walipa kodi?
 
Kwa h
Tatizo letu kila jambo la kusemea nchi,anaeongea anaonekana na chuki binafsi,hiviii nani anapaswa kuiongelea Tanzania tukawa na Amani nae?

Daudi mfalme,wakati anampiga Goliath, Saul alimsifia sanaa,kijana mdogo ameweza kuwapa ushindi.

Lakini alipoanza kumkosoa kuhusu namna anavyotawala,akawa adui wa nchi. Tukitaka kufanikiwa kama nchi ni vyema tujifunze kumsikiliza mtu nini anaongea kuliko kuangalia wapi ametokea. Tanzania ni yetu sote.
Kwa hiyo hana ya kusema kwa sasa ila ni ya magufuli tu?
Hii nchi imetawaliwa na maraisi wa
ngapi na bado watu wake wana shida nyingi na hawajasaidiwa?

Na kama anajua ana uwezo wa kusaidia nchi si afungue hata chuo afundishe vijana na kuwapa uzalendo.
Hao ndio wale wanaosema vijana tafuteni kazi mjiajili wakati wao hawajui wapi hizo kazi zilipo ila wanataka za serikari mpaka wanazeeka.
 
Mzee Assad inabidi atambue kuwa safari ya milima na mabonde ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Aondoe kinyongo moyoni na maisha yaendelee.
Mbona Dr kalemani yuko kimya tu na maisha yanaendelea kama kawaida.
Uchu wa madaraka ni shida sana kwa nchi zinazoendelea hasa hasa TZ.

Ebu chukulia umri alionao huo na hadhi ya u-profesa lakini bado analialia tu na Hayati kama Mtoto mdogo [emoji28]
 
ambao pia hataupata kwasababu anatafuta kuwa chawa wa chadema na cuf, akimsimanga maza ambaye ni mzanzibar mwenzie. hajui kula na vipofu. usomi na hekima ni vitu viwili tofauti.
Usomi na hekima....[emoji120][emoji16]
 
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.

Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.

Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.

Anaweka rekodi sawa kuwa yule hakuwa kiongozi bali mtu muovu aliyekamata madaraka. Sasa anataka kuhakikisha kosa kama lile halirudiwi. Na kwa taarifa yako mpaka Profesa hajamsema dhalimu vizuri, anatakiwa azidishe sauti.
 
Mbona Dr kalemani yuko kimya tu na maisha yanaendelea kama kawaida.
Uwa madaraka ni shida sana kwa nchi zinazoendelea hasa hasa TZ.

Ebu chukulia umri alionao huo na hadhi ya u-profesa lakini bado analialia tu na Hayati kama Mtoto mdogo [emoji28]

Kalemani yuko kimya maana alikuwa mwizi, sio profesa Assad ambaye ni mtu muadilifu.
 
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.

Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.

Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
Not true, he was about to retire, his is just raising concern of the misdeeds he witnessed while in the office
 
Hao ni wale wazee wanaohisi nchi ni mali yao peke yao
katiba inasemaje? aliondolewa vipi? sifa anazo au hana?
alivyoondolewa nini kilifuatia?
kulikuwa na sababu zozote za kiutendaji za kumuondoa?
 
Huyu mtu kwa upande wangu namuona ni muadilifu na mzalendo, Hana unafiki wa kunyamazia mabaya aliyoyaona kwenye nchi yake,
Kwa elimu na umri wake hawezi kulia njaa au vyeo ,

Ila wakati umefika uzalendo unamsukuma umeona aseme neno litakalosaidia nchi yako kuliko wasomi wengine walionyamaza au kujipendekeza kinafikiiii
Pia nakuona mtoa mada Kama vile ww ndo una chuki na mhusika
 
Tatizo letu kila jambo la kusemea nchi,anaeongea anaonekana na chuki binafsi,hiviii nani anapaswa kuiongelea Tanzania tukawa na Amani nae?

Daudi mfalme,wakati anampiga Goliath, Saul alimsifia sanaa,kijana mdogo ameweza kuwapa ushindi.

Lakini alipoanza kumkosoa kuhusu namna anavyotawala,akawa adui wa nchi. Tukitaka kufanikiwa kama nchi ni vyema tujifunze kumsikiliza mtu nini anaongea kuliko kuangalia wapi ametokea. Tanzania ni yetu sote.
Keshaongea sana. Kila siku anarudia hayo hayo. Kuna wakati alidiriki kusema mradi wa bwawa la nyerere unatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1977. Alisahau kuna ripoti inayoonyesha ulifanyiwa tena upembuzi yakinifu.

Mara anataka kiongozi anayesikiliza, hivi kiongozi akisikiliza kila mtu tutafika. Angeanza na samia basi kumuambia awasikilize wananchi wanaposema makamba hafiti uwaziri wa nishati.
 
Back
Top Bottom