Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

Weka hapa bandiko lenye matamshi ya kisiasa aliyowahi kufanya Prof Assad na ukifanya hivyo nitakuzawadia vitenge doti 50.
Sivihitaji vitenge mkuu Daudi mwana wa Yese, yapo mengi ambayo hayaandikwi jukwaani lakini watu wanayafahamu kwa kina. Masalia ya mwisho mwisho ya JK ndiyo haya yanaondolewa, upo uhusiano kati ya ZZK na hao wawili niliowataja.
 
Unakumbatia majizi yenye sura ya binadam eeh.
 
Sivihitaji vitenge mkuu Daudi mwana wa Yese, yapo mengi ambayo hayaandikwi jukwaani lakini watu wanayafahamu kwa kina. Masalia ya mwisho mwisho ya JK ndiyo haya yanaondolewa, upo uhusiano kati ya ZZK na hao wawili niliowataja.
Mkuu wewe ni mmoja ya watu makini sana hapa JF na unaaminika. Ushahidi wa mahusiano yake na uliowataja unaweza kutudokezea Phillipo?
 
Halafu huko Kawe inaonekana ni sifuri kabisa.
 
Mkuu wewe ni mmoja ya watu makini sana hapa JF na unaaminika. Ushahidi wa mahusiano yake na uliowataja unaweza kutudokezea Phillipo?
Mkuu nisingependa kumwaga ushahidi humu JF, baadhi yao ni waheshimiwa sana na sio vizuri kuanza kugeuka Cyprian Musiba, itoshe tu kwa ushahidi wangu huu wa kimazingira kuaminika.
 
Utafiti ulisema wengi wanaounga mkono CCM ni watu ambao hawakwenda shule kabisa, walioshia la saba na wachumia tumbo!
 
Kutumikaje labda .lini umewai msikia akijihusisha nasiasa? Ongea vitu vyamsingi acha kuropoka bwana .
 
Ndugai na yule kichaa mwingine wamefurahi sana sasa tutegemee kodi zetu kuanza kupigwa kiholela na hili gege la majizi linalojitia uzalendo. Hapa kazi ni wizi tu
Hapa wizi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…