Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Sivihitaji vitenge mkuu Daudi mwana wa Yese, yapo mengi ambayo hayaandikwi jukwaani lakini watu wanayafahamu kwa kina. Masalia ya mwisho mwisho ya JK ndiyo haya yanaondolewa, upo uhusiano kati ya ZZK na hao wawili niliowataja.Weka hapa bandiko lenye matamshi ya kisiasa aliyowahi kufanya Prof Assad na ukifanya hivyo nitakuzawadia vitenge doti 50.