The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Tena kwa Nchi kama hii ambayo Watu Wana mdomo ni hatari sana.Mtu yoyote agombee achaguliww uenyekiti wa Kijiji amsikilize kila mtu halafu aone Kama atajenga hata choo Cha Shule ya chekechea
Ni tatizo la watu wenye kutaka kuona mabadiliko pasina wao wenyewe kubadilika, kuna vitu vyengine kama mna ustaarabu mzuri wala haviitaji maandishi ya kwenye katiba.Juu ujinga unaitwa Katiba mpya ni kichekesho hata hii ya sasa utekelezaji wake umetushinda! Badala ya kufundisha uzalendo kwa taifa tunahangaika na ujinga unaitwa Katiba mpya! Katiba ni mwandishi kama yalivyo kwenye vitabu vya dini bila kuyatekeleza ni kelele tu! Katiba ya kugawana vyeo! Taifa limejaa wajinga akitokea mzalendo zinaanza kelele anaudikteta! Unafiki unafiki!
Prof need learn to let it go...Atakaa na hilo gubu mpaka lini?Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa.
Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo amesisitiza umuhimu wa kuwa na utawala bora Nchini.
“Tumezungumza namna ya kuongeza utawala bora, Taasisi kama Bunge, Serikali, Mahakama zote ni muhimu kufanya kazi inavyotakiwa, ndio maana miaka hii iliyopita wote tulifika mahala wote tukawa tunaogopa kusema chochote kwa kuwa kulikuwa na mtu ambaye hakuna mtu ambaye anaweza kumsikiliza,” - Profesa Assad.
Duuuuuyule baba kaburini ndiko sehemu sahihi kuweko maana kama angelikuweko mpaka leo hatujui wangapi wangebaki na mavi yao nyumbani
Huyo dhalimu ni sehemu ya historia mbovu ya nchi hii. Atasemwa sana, ataandikwa pia kuweka kumbukumbu.Kuna watu wana udhaifu wa kutosamehe waliokufa juu ya mapungufu yao,wataendelea kuyasema tu.
Professa assad ni mtu mzima lakini katika hili naona kila siku vijembe kwa magufuli,kama ana lake moyoni basi haliishi tu tokea alipoanza kumsema ?
Hali ya utawala wa magufuli ulikuwa unafahamika na kila mtu hapa nchini,hakuna haja ya kuanza kupiga vijembe kwa jambo ambalo liko wazi kwa watu.
Profesa aatuli,atoe mawazo aachane na marehemu,inatia kinyaa sana kumzungumzia mtu ambaye ameshakufa
Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa.
Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo amesisitiza umuhimu wa kuwa na utawala bora Nchini.
“Tumezungumza namna ya kuongeza utawala bora, Taasisi kama Bunge, Serikali, Mahakama zote ni muhimu kufanya kazi inavyotakiwa, ndio maana miaka hii iliyopita wote tulifika mahala wote tukawa tunaogopa kusema chochote kwa kuwa kulikuwa na mtu ambaye hakuna mtu ambaye anaweza kumsikiliza,” - Profesa Assad.
Huyu mzee anasononeko la moyo mpaka linamkereketa.huyu Mzee anatakiwa kukubali Rais ni cheo kikubwa Sana na anakuwa anajidhalilisha kuzungumzia kitu kinachomtesa.
Kuna watu wana udhaifu wa kutosamehe waliokufa juu ya mapungufu yao,wataendelea kuyasema tu.
Professa assad ni mtu mzima lakini katika hili naona kila siku vijembe kwa magufuli,kama ana lake moyoni basi haliishi tu tokea alipoanza kumsema ?
Hali ya utawala wa magufuli ulikuwa unafahamika na kila mtu hapa nchini,hakuna haja ya kuanza kupiga vijembe kwa jambo ambalo liko wazi kwa watu.
Profesa aatuli,atoe mawazo aachane na marehemu,inatia kinyaa sana kumzungumzia mtu ambaye ameshakufa
Utadhani ana PhD ya political science, hadi leo analia lia na nafasi ya CAG? Mbona halilii nafasi yake UD? Nilishamuona ni mtu wa hovyo tu! always comments zake zinazuiliwa na mambo ya kidini. Ni mdini.
Hamia kabisa chattle ukawe unamwibia mapambio. Hatutaacha kuwahadithia vizazi vijavyo, na juu ya doa aliloitia nchi hii kwa utawala wake wa hovyo.Kwa sababu uliachiwa mimba na yule chizi wako fresh wa burig
Nawekea Mkazo hili yaani Nakazia na kukazia.ndio maana miaka hii iliyopita wote tulifika mahala wote tukawa tunaogopa kusema chochote kwa kuwa kulikuwa na mtu ambaye hakuna mtu ambaye anaweza kumsikiliza
Na inaonyesha Magufuri alimjua kwamba ni mnafiki ndo mana wabunge walimtimua na makaratasi yake!!!
Proff hamegoma kumsahau mwamba,kuna mhuni mwenzie mwalimu wa madrasa kalawiti watoto 22
Profesa mwenye dharau na Kibri ambaye anajifanya ni mjuzi wa kila kitu.Mtu alishafariki dunia lakini bado unazidi kumongeleaongelea.Kama na kuondolewa kile cheo,ni wengi wanaondolewa lakini wanatazama mbele na siyo kuongeaongea mambo ya nyuma utafikiri wazee wa vijiweni.Alishawahi kusema eti tulikuwa na 'Dubwana' hapa.Kejeli na majina yasiyofaa kuwaita watu wengine siyo sifa nzuri katika Uislam na Muislam kama anavyoonekana ila Mwenyezi Mungu ndiye anamjua zaidi.Acha' KIBRI' hiyo ni sifa ya Muumba wako,siyo wewe.
Mzee Rukhsa alisema "Maisha ni hadithi tu, ewe ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa".Kuna watu wana udhaifu wa kutosamehe waliokufa juu ya mapungufu yao,wataendelea kuyasema tu.
Professa assad ni mtu mzima lakini katika hili naona kila siku vijembe kwa magufuli,kama ana lake moyoni basi haliishi tu tokea alipoanza kumsema ?
Hali ya utawala wa magufuli ulikuwa unafahamika na kila mtu hapa nchini,hakuna haja ya kuanza kupiga vijembe kwa jambo ambalo liko wazi kwa watu.
Profesa aatuli,atoe mawazo aachane na marehemu,inatia kinyaa sana kumzungumzia mtu ambaye ameshakufa
Assad na mwenzie Ramadhan Dau ukiwaona utafikiri ni watu wa maana kumbe ni wanafiki ambao chini ya ngozi yao umejaa ubaguzi wa kidini uliokithiri!! Kwa wale wanaowafahamu toka wakisoma UDSM mpaka walipoanza kazi nje ya chuo kikuyu watakubaliana na observation yangu!
Juu ujinga unaitwa Katiba mpya ni kichekesho hata hii ya sasa utekelezaji wake umetushinda! Badala ya kufundisha uzalendo kwa taifa tunahangaika na ujinga unaitwa Katiba mpya! Katiba ni mwandishi kama yalivyo kwenye vitabu vya dini bila kuyatekeleza ni kelele tu! Katiba ya kugawana vyeo! Taifa limejaa wajinga akitokea mzalendo zinaanza kelele anaudikteta! Unafiki unafiki!
Lisu mwenyewe brabra nyingi tu! Saizi dishi lishayumba! Upumbavu wake ndo matokeo yake! Hata mkwe wake hawezi kumgonga! Kila kitu anajifanua unajua kama ilivyo huyu Assad!