Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

Mtu yoyote agombee achaguliww uenyekiti wa Kijiji amsikilize kila mtu halafu aone Kama atajenga hata choo Cha Shule ya chekechea
Tena kwa Nchi kama hii ambayo Watu Wana mdomo ni hatari sana.

Ndio maana hata Samia hazingatii Sana huo ujinga👇

2935085_FB_IMG_16307140795615105 (1).jpg

Screenshot_20220520-080847.png
 
Juu ujinga unaitwa Katiba mpya ni kichekesho hata hii ya sasa utekelezaji wake umetushinda! Badala ya kufundisha uzalendo kwa taifa tunahangaika na ujinga unaitwa Katiba mpya! Katiba ni mwandishi kama yalivyo kwenye vitabu vya dini bila kuyatekeleza ni kelele tu! Katiba ya kugawana vyeo! Taifa limejaa wajinga akitokea mzalendo zinaanza kelele anaudikteta! Unafiki unafiki!
Ni tatizo la watu wenye kutaka kuona mabadiliko pasina wao wenyewe kubadilika, kuna vitu vyengine kama mna ustaarabu mzuri wala haviitaji maandishi ya kwenye katiba.
 
Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa.

Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo amesisitiza umuhimu wa kuwa na utawala bora Nchini.

“Tumezungumza namna ya kuongeza utawala bora, Taasisi kama Bunge, Serikali, Mahakama zote ni muhimu kufanya kazi inavyotakiwa, ndio maana miaka hii iliyopita wote tulifika mahala wote tukawa tunaogopa kusema chochote kwa kuwa kulikuwa na mtu ambaye hakuna mtu ambaye anaweza kumsikiliza,” - Profesa Assad.
Prof need learn to let it go...Atakaa na hilo gubu mpaka lini?
Km jamaa alikua haskilizi mbona alipokua anawasilisha report yake March 2016 alishauri kuhusu Umeme wa Stiglers na jamaa akaufanyia kazi ushauri wake?au keshasahau?
 
Kuna watu wana udhaifu wa kutosamehe waliokufa juu ya mapungufu yao,wataendelea kuyasema tu.

Professa assad ni mtu mzima lakini katika hili naona kila siku vijembe kwa magufuli,kama ana lake moyoni basi haliishi tu tokea alipoanza kumsema ?

Hali ya utawala wa magufuli ulikuwa unafahamika na kila mtu hapa nchini,hakuna haja ya kuanza kupiga vijembe kwa jambo ambalo liko wazi kwa watu.

Profesa aatuli,atoe mawazo aachane na marehemu,inatia kinyaa sana kumzungumzia mtu ambaye ameshakufa
Huyo dhalimu ni sehemu ya historia mbovu ya nchi hii. Atasemwa sana, ataandikwa pia kuweka kumbukumbu.
 
Ukwel mchungu huu
Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa.

Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo amesisitiza umuhimu wa kuwa na utawala bora Nchini.

“Tumezungumza namna ya kuongeza utawala bora, Taasisi kama Bunge, Serikali, Mahakama zote ni muhimu kufanya kazi inavyotakiwa, ndio maana miaka hii iliyopita wote tulifika mahala wote tukawa tunaogopa kusema chochote kwa kuwa kulikuwa na mtu ambaye hakuna mtu ambaye anaweza kumsikiliza,” - Profesa Assad.
 
Nadhan unaota ww,huyu mwamba kwa taaluma yake hawez kosa cha kufanya
Huyu mzee anasononeko la moyo mpaka linamkereketa.huyu Mzee anatakiwa kukubali Rais ni cheo kikubwa Sana na anakuwa anajidhalilisha kuzungumzia kitu kinachomtesa.
 
Hitler mpaka leo huzungumziwa kwa uovu aliofanya,wacha ukwel mchungu usemwe ili watu wajifunze
Kuna watu wana udhaifu wa kutosamehe waliokufa juu ya mapungufu yao,wataendelea kuyasema tu.

Professa assad ni mtu mzima lakini katika hili naona kila siku vijembe kwa magufuli,kama ana lake moyoni basi haliishi tu tokea alipoanza kumsema ?

Hali ya utawala wa magufuli ulikuwa unafahamika na kila mtu hapa nchini,hakuna haja ya kuanza kupiga vijembe kwa jambo ambalo liko wazi kwa watu.

Profesa aatuli,atoe mawazo aachane na marehemu,inatia kinyaa sana kumzungumzia mtu ambaye ameshakufa
 
Pole mjane but ukwel mchungu lazma usemwe
Utadhani ana PhD ya political science, hadi leo analia lia na nafasi ya CAG? Mbona halilii nafasi yake UD? Nilishamuona ni mtu wa hovyo tu! always comments zake zinazuiliwa na mambo ya kidini. Ni mdini.
 
ndio maana miaka hii iliyopita wote tulifika mahala wote tukawa tunaogopa kusema chochote kwa kuwa kulikuwa na mtu ambaye hakuna mtu ambaye anaweza kumsikiliza
Nawekea Mkazo hili yaani Nakazia na kukazia.
 
Nina maoni tofauti na Prof. Kwa miaka mingi tumekuwa na Marais walitoa fursa Kwa wasaidizi wao kutumia nafasi zao ktk kuitumikia nchi ie (mawaziri, DGs wa nashirika, concils nk) lkn hakuna chochote cha maana wananchi walipata. Zaidi ya JK wakati flani kukiri serikalini Kuna mchwa wanakula pesa za umma. Damu hii ilikuwa mbaya na utumishi wa umma ulikuwa simply kujineemesha binafsi. Mtawala Magu aliliona hili na kuamua ku deal nao perpendicularly Kila alipopeleka pesa ya umma. Let us be honest, hii imeleta matokeo chanya Kwa just 5yrs za utawala wake. Kila mwenye macho anaona si ktk huduma za jamii mpaka ktk miradi ya maendeleo ya kimkakati. Prof Assad atambue hakuna Masikini asiye mbinafsi ndio watawala wetu na ukiwaachia huo uhuru jua unaumiza na hata kuua tabaka la nchi. Lazima wasimamiwe na kulazimishwa kutumikia wananchi. Hata tukiwa na KATIBA MPYA Leo hii kama mentality yetu haita badilika umaskini tena utazidi hapa tulipo. Tunahitaji MTAWALA mwingine atuongoze tufikie mahala fulani ndipo democratic rulers waje. (Majizi, mafisadi, wabadhirifu) wanakipenda sana kipande cha demokrasia sbb kinatoa mianya mingi ya upigaji ktk jamii sbb system zetu Bado ziko chini kudhibiti.
 
Kwa hyo ukisema ukwel mchungu ni kiburi???achen yule aliyejifanya kila kitu aambiwe ukwel ili wengne wajifunze
Profesa mwenye dharau na Kibri ambaye anajifanya ni mjuzi wa kila kitu.Mtu alishafariki dunia lakini bado unazidi kumongeleaongelea.Kama na kuondolewa kile cheo,ni wengi wanaondolewa lakini wanatazama mbele na siyo kuongeaongea mambo ya nyuma utafikiri wazee wa vijiweni.Alishawahi kusema eti tulikuwa na 'Dubwana' hapa.Kejeli na majina yasiyofaa kuwaita watu wengine siyo sifa nzuri katika Uislam na Muislam kama anavyoonekana ila Mwenyezi Mungu ndiye anamjua zaidi.Acha' KIBRI' hiyo ni sifa ya Muumba wako,siyo wewe.
 
Kuna watu wana udhaifu wa kutosamehe waliokufa juu ya mapungufu yao,wataendelea kuyasema tu.

Professa assad ni mtu mzima lakini katika hili naona kila siku vijembe kwa magufuli,kama ana lake moyoni basi haliishi tu tokea alipoanza kumsema ?

Hali ya utawala wa magufuli ulikuwa unafahamika na kila mtu hapa nchini,hakuna haja ya kuanza kupiga vijembe kwa jambo ambalo liko wazi kwa watu.

Profesa aatuli,atoe mawazo aachane na marehemu,inatia kinyaa sana kumzungumzia mtu ambaye ameshakufa
Mzee Rukhsa alisema "Maisha ni hadithi tu, ewe ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa".
 
Hizo hisia zako tu,toa mifano hai
Assad na mwenzie Ramadhan Dau ukiwaona utafikiri ni watu wa maana kumbe ni wanafiki ambao chini ya ngozi yao umejaa ubaguzi wa kidini uliokithiri!! Kwa wale wanaowafahamu toka wakisoma UDSM mpaka walipoanza kazi nje ya chuo kikuyu watakubaliana na observation yangu!
 
Nenda china kaibe mali ya umma ndyo utajua kama katiba ni maandishi tu
Juu ujinga unaitwa Katiba mpya ni kichekesho hata hii ya sasa utekelezaji wake umetushinda! Badala ya kufundisha uzalendo kwa taifa tunahangaika na ujinga unaitwa Katiba mpya! Katiba ni mwandishi kama yalivyo kwenye vitabu vya dini bila kuyatekeleza ni kelele tu! Katiba ya kugawana vyeo! Taifa limejaa wajinga akitokea mzalendo zinaanza kelele anaudikteta! Unafiki unafiki!
 
Vp alikugonga ukajua anashindwa kumgonga mkewe????ww mjane wa jiwe????
Lisu mwenyewe brabra nyingi tu! Saizi dishi lishayumba! Upumbavu wake ndo matokeo yake! Hata mkwe wake hawezi kumgonga! Kila kitu anajifanua unajua kama ilivyo huyu Assad!
 
Back
Top Bottom