Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

unanunia keshi una hela?? hela ya dawa unakopa than ndege unanunua keshi kwanini usiwe mwehu??
 
Wewe kilaza umeambiwa ndege zinapata hasara kwa miaka mitano mfululizo.
Sawa ahsante. Lakini unajua gharama kutokana na gharama kubwa za mtaji ndo maana inaonekana shirika linapata hasara. Mfano mzuri, anzisha biashara yoyote mtaani kwako, halafu uangalie itakuchukua mda gani kupata faida. Hivi unadhani ni rahisi hivo kama unavyofikiri, kutengeza faida kwa kipindi kifupi hivo.

Shiriķa hili limeokotwa jalalani na magufuli na kalirudisha kwenye mstari sasa leo iweje tumsimange kiasi hiki? Mzee jitafakari vizuri kuhusu kile uteteacho kwa maslahi ya Taifa letu.
 
Shujaa alisema ZINALETA FAIDA na kumbe ni FIKSI tu, ATCL walitoa hadi gawio la faida kwa Serikali ili kumridhisha Shujaa mpenda sifa.
 
Mkuu, mimi kukataa alichokisema Professa haina maana kua nilikua ama namshabikia Hayati Magufuli.

Tusipende kujumuisha vitu, generalisation syndrome ni ugonjwa wa akili.

Umekwazika na sentensi moja ya Prof, huku mwendazake alikuwa na lugha mbovu kila wakati, na hujuwahi kuanzisha uzi kukemea hizo lugha. Hapo unataka tukuweke kundi gani?
 
Mkuu kujua kwingi ni tatizo na kutokujua pia ni tatizo usisahau huyo ni mbongo tipiko!
 
Naona alitaka akalipe kwa bargain kinachobaki asepe nacho
 

Ila alikuwa anasema kuwa hilo shirika linaingiza faida, kama haya unayosema ya hasara ni kweli, ulikuwa wapi wakati anatuongopea, useme kuwa sio kweli asemacho?
 
Prof kasema ni mjinga na sio kichaa, acha kumlisha maneno.
Linapo kuja suala la opinions, kama yalivyo makalio kila mtu ana size yake.
Toa ya kwako na acha kumshambulia mtoa hoja,shambulia hoja.
 
MATAGA hamuoni aibu! Prof kuhoji hasara ya ndege hizo mnamuita mnafki?

Kwani Zile Trillioni 1.5 za ujenzi wa Chato airport zilitumika vipi ! Mbona alipohoji aliwekwa pembeni?

Shame on you!
 
Mkuu unapomnukuu mtu andika kile alichosema na sio kingine, Prof hakusema "KICHAA" kasema "MJINGA" na tofauti inajulikana, unaweza kuwa na madegree yako lkn ukawa mjinga kwenye mambo flani. Hiyo link yako haifunguki lkn pia unatakiwa ujue kuwa aircraft ni chombo chochote kinachoruka anga hivyo hata hizi drone za kurikodi na vindege vidogo vya kupulizia dawa mashambani vinaingia kwenye takwim, so tuletee takwim za commercial airliner au ukubali Prof yuko sahihi.
 
MATAGA hamuoni aibu! Prof kuhoji hasara ya ndege hizo mnamuita mnafki?

Kwani Zile Trillioni 1.5 za ujenzi wa Chato airport zilitumika vipi ! Mbona alipohoji aliwekwa pembeni?

Shame on you!
Mkuu Matrix19
Hao kima aka Team rise, hawana aibu wala, ni zaidi hata ya wanyama kwa ushenzi wanao uonesha mfano angalia hapa chini [emoji116]
 
Hujamuelewa Prof ASSAD.
 
Nadhani concept ya kununua ndege kwa mkopo vs kununua kwa cash wewe huijui ama hujaielewa.

Issue iko hivi.
1. Ununuzi wa ndege za kibiashara (airline) ni jambo la gharama na uwekezaji wa kibiashara. Hivyo badala ya kwenda kukopa benki pesa taslimu (cash) ili ukawalipe wauza ndege kwa cash, wao wauzaji wanabeba dhamana ya kibenki kwa kukupa ndege kwa mkopo. Hii ni njia bora, rahisi na cheaper zaidi kuliko kukopa benki.

2. Ukiona mtu au kampuni ya kibiashara inanunua kitu cha thamani kubwa kama ndege kubwa kwa cash basi ujue wamekopa mahali (kama sio benki basi 'wamekopa' kutoka kwenye source zingine). Why? Sio rahisi na sio sahihi kwa kampuni za kibiashara kuhifadhi pesa zao nyingi interms of Cash ili kuja tu kununua ndege. Unless uwe kichaa, na sio mfanyabiashara.

3. Ukinunua ndege kwa cash kuna uwezekano mkubwa gharama zake zikawa kubwa zaidi! Why?
Ndege kubwa haziuzwi kama magari kwenye showrooms au mnada (ambapo huenda tu na pesa zake na kununua), kwenye ndege mnunuzi anapaswa kufanya order with specifications halafu wauzaji wakutengenezee ndege yako. Unapolipa pesa Cash maana yake unataka kampuni ifanye haraka kukutengenezea ndege yako, wao wanaacha order za watu wengine kwa muda ili watengenezee ndege yako, ama sometimes wanakuonyesha order za watu wengine ambazo ziko tayari tayari ikiwa zinafit na uhitaji wako ili upewe, ama viwanda vyao vinaongeza wafanyakazi ili kuspeed up utengenezaji wa ndege yako. Hiyo kitu inafanya gharama iwe juu zaidi.
 
Tatizo lako unafananisha manunuzi ya mtu binafsi na ya SERIKALI. UKIWEZA KUTOFAUTISHA HAYO MAKUNDI BASI AKILI YAKO ITAANZA KUHAMA KUTOKA MATAKONI KUJA KICHWANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…