Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Huwa kuna vitu nilikuwa naina vinatendeka na watu tukanyamaza kimya tukanungunika moyoni tukawa kama yeye nahisi ndio maana Mungu alioamua kumwondoa mazima aisee.Kuna siku nilijisemesha mwenyewe kuhusu yanayoendelea nikawa najisemea ukitoka hadharani kuongea unakamatwa ,unabambikiwa mikesi kisa mfalme hataki kukosolewa wala ushauri .Beki tatu wangu akaniambia ,Mungu akiona unag'ang'ania vitu anakuondoa tu .Ndio yaliyotokea wengi tulilalamikia kwa moyo
 
Serikali ya Pombe imekopa 1.2 Trillion kutoka World Bank kwa ajili ya ujenzi wa madarasa alafu at the same time serikali ya Pombe imenunua ndege kwa cash sh. 1.5 Trillion.

Mkiambiwa mwendazake alikua ni tapeli mnarusha miguu kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Hii mada au uzi nashangaa umeshafikisha kurasa 6 na bado haujachanganywa na ule wa awali.Tumezoea mada zetu nyengine haraka huchanganywa na mada zinazofanana nazo na zilizoanzishwa katika muda unaokaribiana.Kuna nini kuhusu profesa Assad
 
Naona hata idadi ya maneno imeanza kupungua kwny hoja zako ikashiria unataman kuelewa lakini ndo hivyo tena huwez kubadili msimamo hadharani
Yes napunguza maana naona nitajipa kazi kumuelekeza mtu asiyejua ABC ya mambo ya finance/economic. Ni ngumu kwa watu kama nyie kuelewa maana upumbavu ni rahisi kiwa adopted ndio maana Magufuli aliwekeza upumbavu mwingi vichwani mwenu.
 
Tatizo lako unafananisha manunuzi ya mtu binafsi na ya SERIKALI. UKIWEZA KUTOFAUTISHA HAYO MAKUNDI BASI AKILI YAKO ITAANZA KUHAMA KUTOKA MATAKONI KUJA KICHWANI.
Labda kama ulikuwa hujui, taratibu za manunuzi ya serikali, watu binafsi au mashirika yote lazima yafuate mwongozo wa kitaalamu. Sio kwamba kwa vile wewe ni raia basi ununue vitu hovyo hovyo bila kujua matokeo yake huko baadae.

Licha ya hivo unapaswa kujua sheria zetu zina ukiritimba na mlolongo mrefu wakati wa kutekeleza manunuzi ya yoyote ya serikali. Hayati kwa kulijua hilo aliona ni vyema akafanya jambo sahihi hata kama alikiuka sheria za manunuzi. Angekuwa amenunua kwa ajili yake na familia yake hakika hata mimi nisingemtetea hata mara moja.

Hebu jiulize swali moja. Vitu vyote wanavyomlaumu navyo magufuli alinunua au kuvifanya kwa ajili yake au taifa. Ndo utaelewa n nn nnacjokitetea
 
Ni Mpumbavu ndio Ananunua Ndege kwa Cash
 
Huna akiri kabisa
 
Kwa avator yako inaonesha wewe ulikuwa mnufaika wa bwana mwendazake
 
Wewe ni sukuma gang?
 
Tulikopa ndege South Africa Airlines, kipindi kile cha ATC , nini kilitokea ??
 
Kwa nini wataalamu walipiga mahesabu ya lini SGR itapata faida ila hawakupiga mahesabu ya lini mandege yenu yataleta faida kabla hayajanunuliwa?

Halafu unafahamu reli hakuna mtu binafsi anaweza kuwekeza kuijenga ila ndege tayari tulikuwa na mashirika binafsi yaliyikuwa yanafanya vizuri sana? Ni Kiherehere gani kiliwatuma muende kuingia kufanya biashara kushindana na sekta binafsi iliyokuwa inafanya vizuri kabisa??
 
Hivi wajomba mlikuwa wapi kuongea wakati mnayemtuhumu alipokuwepo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…