TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Mkuu inataka kumaanisha vijana wa paka mrefu wamefanya yao!!!?
 
Unataka kusokomezewa. Wapo wanaohitaji hiyo huduma watakucheki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusokomezwa mbna nasokomezwa kila siku, vipi nawee unataka tu share ukuni m1 na mie? Huenda nafaidi sana eti eeeh?

Wee ndo unatafuta soko kupitia mie, poleeeeeeh sana, tafuta basha kivyako, msieeeew.
 
Mwanaume unasonya. Hatari
 
Bonge moja ya cv yake hii hapa ila ni ya nyuma kidogo 2018
 
Attachments

Nimelipigia kelele sana hilo...mara nyingi mimi nimeona jinsi tunavyokoswa koswa humo njiani
 
Loli lililobeba Contena liligonga Noah Kisha kuangukia gari aliyopanda Pro sasa hapo dereva wa SU amekosea nini?
 
Hello, mbona wadau wanasema walikuwa watatu, mbona mnaongelea Dereva, na Prof, huyo dada vp,???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…