Ndo umejua sasa.Siku zoote nilikua sijajua kama wewe ni 'Shoga'!
Sasa si afanye zitulie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anamaanisha tabia zako za 'Kishoga' zinampandisha stimu!
Coca unajua kuwakera sana [emoji23][emoji23] yaani wao wapo serious we unacheka[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si afanye zitulie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe PhD alisomea Chuo pendwa?Bonge moja ya cv yake hii hapa ila ni ya nyuma kidogo 2018
Prof Honest Ngowi alipata ajali saa 12 asubuhi mke akiwa Iringa. Tuanzie hapoPumzika kwa amani Prof Honest Ngowi. Japo sisi wa chache ambao akili na mawazo yetu vimekataa kukiona kifo hiki kama kifo cha kawaida.
Yapo maswali magumu sisi tunao amini conspiracy theories na elimu dunia tunajiuliza na kutamani kujuwa nani alikosea au kujisahau mpaka kifo kikakukuta kama masihara.
Nitaendelea...
Kwahiyo!?Prof Honest Ngowi aliwapenda wadada weupe wa university sana na ilimfanya mke apate msongo wa mawazo .