TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Pumzika kwa amani Prof Honest Ngowi. Japo sisi wa chache ambao akili na mawazo yetu vimekataa kukiona kifo hiki kama kifo cha kawaida.

Yapo maswali magumu sisi tunao amini conspiracy theories na elimu dunia tunajiuliza na kutamani kujuwa nani alikosea au kujisahau mpaka kifo kikakukuta kama masihara.

Kifo hiki kina pande mbili
Nitaendelea...
 
Prof Honest Ngowi alipata ajali saa 12 asubuhi mke akiwa Iringa. Tuanzie hapo
 
kwani profesa kauwawa na wapenda vyeo au majasusi wa nje
 
Back
Top Bottom