yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Mmh hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole kwa msibaR.I.P
Hii barabara isipotanuliwa na kuweka dual carriage way tutaisha sana kwa kweli lawama tutawapa sana madereva lakini ukweli tuuseme barabara hii ni bado ya kizamani hailingani na matumizi ya idadi ya magari iliyopo sasa.
Wanasiasa hebu tumieni hicho kiwango cha posho zenu kuokoa maisha ya watu kwa ajali ambazo huenda zingeepukika.
Hivi nchi mnazoenda kutembelea hamjifunzi tu kitu cha kufanya?
Oneni aibu kwa kuchelewa kujenga dual carriage way ya dar to morogoro tunazidiwa na nchi kama Zambia kweli?
Dual carriage, umeniacha apa mkuuR.I.P
Hii barabara isipotanuliwa na kuweka dual carriage way tutaisha sana kwa kweli lawama tutawapa sana madereva lakini ukweli tuuseme barabara hii ni bado ya kizamani hailingani na matumizi ya idadi ya magari iliyopo sasa...
Hapo dereva afanye nini? msipende sana kulaamu bila sababu.Mmefukuza madereva wazuri kwa sababu za kipuuzi za vyeti fake mara sijui dereva naye awe form four wakati mbunge ni darasa la saba, pumbavu kabisa.
Qualification ya driver ni driving license na siyo hawa waliokosa ajira kwenye soko la ajira na kukimbilia udereva, kuendesha Passo yako ni tofauti kabisa na professional driving.
Ukiwa unasafiri jihadhari sana na hizi plate namba za STL, DFP na SU, hakuna madereva humo siku hizi ndio mitambo ya kupeleka watu kuzimu.
Wewe ni mkurupukaji...mwanzoni taarifa ilivyokuja hakukuwa na wasifu wowote wa huyu marehemu profesa,Kuna mtu kanijibu vizuri ndio nimeelewa Sasa...acha kuwa na maneno ya shombo na ya hovyo hata kwa watu usiowafahamu.Rudia kusoma uzi upya, tena kuwa makini sana maana watu kama ninyi ndiyo hupelekea kusaini mikataba mibovu sababu ya uvivu tu wa kusoma kwa kina habari husika.
Taarifa ilivyokuja hakukuwa na wasifu wa huyo marehemu(profesa),huwezi jua kila kitu,nashangaa unarukia tu bila kufahamu nimecomment muda gani...Halafu mtu unjiita UPTODATE [emoji3][emoji3]
Basi,tumepoteza mtu muhimu sanaa kwenye Mambo ya uchumi...Economics, Mzumbe University. Amekua akichambua mambo ya uchumi kwenye vyombo vya habari (TVs) na kuandika makala za uchumi kwenye magazeti mbalimbali.