TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

Mkuu pole kwa msiba
Bongo hatuna mpango mkakati wa muda mrefu ama laah kila kitu shaghala baghala
Politicians wapo kwa interested zao tuuu
 
R.I.P

Hii barabara isipotanuliwa na kuweka dual carriage way tutaisha sana kwa kweli lawama tutawapa sana madereva lakini ukweli tuuseme barabara hii ni bado ya kizamani hailingani na matumizi ya idadi ya magari iliyopo sasa...
Dual carriage, umeniacha apa mkuu
 
Siku zile za kwanza, Magufuli alipokuwa fearsome dictator,Profesa Ngowi ndiye aliyekuwa one of the first people kutoa maoni mbadala kuhusu Sera za uchumi. Yaani,wakati ule ilikuwa siyo safe kumpinga Magufuli.
 
Namkumbuka kwenye mikutano ya jimbo kuu la Dar.. Walei jimbo, lile kongamano lililofanyika taifa Dar.. UWAKA pale Loyola sec... Tumepoteza mtaalamu wa uchumi
 
Pole sana kwa familia na wote tulioguswa na msiba huu. Adui wa mwisho kuangamizwa kitakuwa ni kifo pale Kristo atakaporudi mara ya pili na hivyo hatutatengana tena. Mungu atufundishe kuzihesabu siku zetu na kutupa moyo wa hekima
 
Hapo dereva afanye nini? msipende sana kulaamu bila sababu.
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😒😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Rudia kusoma uzi upya, tena kuwa makini sana maana watu kama ninyi ndiyo hupelekea kusaini mikataba mibovu sababu ya uvivu tu wa kusoma kwa kina habari husika.
Wewe ni mkurupukaji...mwanzoni taarifa ilivyokuja hakukuwa na wasifu wowote wa huyu marehemu profesa,Kuna mtu kanijibu vizuri ndio nimeelewa Sasa...acha kuwa na maneno ya shombo na ya hovyo hata kwa watu usiowafahamu.
 
 
Halafu mtu unjiita UPTODATE [emoji3][emoji3]
Taarifa ilivyokuja hakukuwa na wasifu wa huyo marehemu(profesa),huwezi jua kila kitu,nashangaa unarukia tu bila kufahamu nimecomment muda gani...
 
Economics, Mzumbe University. Amekua akichambua mambo ya uchumi kwenye vyombo vya habari (TVs) na kuandika makala za uchumi kwenye magazeti mbalimbali.
Basi,tumepoteza mtu muhimu sanaa kwenye Mambo ya uchumi...
 
May God Almighty rest his soul in peace. He was a brilliant economist and a true entrepreneur.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…