Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

Huna hata Degree bado unabishana na Profesa mwenye Heshima iliyotukuka Kitasnia na Kiuweledi halafu bila Aibu unataka Kutulazimisha tukuamini Boya na Pimbi Wewe.

Hebu tupishe tafadhali.
Kuwa na degree siyo sababu ya kuogopa kutoa hoja au kufanya utatifi. Mbona kuna maprofesa wengi wasengee tu Ulaya? Nao utasemaje?
 
Sidhani kama amefanya research yeye kama yeye ila nakubaliana na alichokisema kwani mesikia hizo habari kitambo toka kwa madocta nguli wa huko mbele kama Dr Hyman mark na Dr berg ambao naamini nae kafatilia na kujifunza toka ktk makala za watu kama hao...

Na nadhani siku sio nyingi atakuja na maswala ya intermediate fasting pia jambo ambalo litakuwa zuri pia
Ameshatoa hili somo kwny channel yake YouTube Nadhani anawasikiliza sana Dr. Berg na Dr Jason Fang.
 
Prof yupi? Akiwa anaongea muangalie sana macho yake. Hayaendi na moyo wake.
Tukio lile kwa kweli.....

Lkn kuna ukweli tunadanganya kunywa maji mengi mno na kuchosha figo kwa kuchuja. Tunywe maji lkn si elimu nyingi zinazotolewa ovyo ovyo na ma Dr uchwala
 
Ngoja maprofesa origino tumsaidie, alimaanisha kuanzia kikombe cha chai plus a cup of water, lunch plus a cup of water, evening two cups of water, hata hizo bia mnazokunywa nazo ni maji.

Usiku supper na glass ya maji.

Unless otherwise angetutaja sie wa umri wake ambao muda mwingi tupo tu karibu na mazingira yenye toilets.

Pia hatuwezi kunywa lita tano, tumejitahidi ni mbili na nusu.
 
Sidhani kama amefanya research yeye kama yeye ila nakubaliana na alichokisema kwani mesikia hizo habari kitambo toka kwa madocta nguli wa huko mbele kama Dr Hyman mark na Dr berg ambao naamini nae kafatilia na kujifunza toka ktk makala za watu kama hao...

Na nadhani siku sio nyingi atakuja na maswala ya intermediate fasting pia jambo ambalo litakuwa zuri pia
Intermittent fasting.
 
Janabi nae fix tu.
Mpaka kusikia kiu maana yake ushauchelewesha mwili kuupa maji, si vyema kunywa maji eti baada ya kuhisi kiu.

Pili.
Maji mtu anakunywa kutokana na uzito wake.

Ni kweli lita 5 ni nyingi mnoo, lakini lita 2-3 inabidi tunywe kwa siku kwa mtu mzima.. hapo factor ya kazi(kuutumikisha mwili) tumeweka pembeni.
Kama unafanya mazoezi lita 5 bado ni chini. Asiyefanya ni fair akinywa lita 3 mpaka 5.

Hawa wauza dawa na ushauri watatunga chochote ili kuwavuta wateja.
 
Janabi nae fix tu.
Mpaka kusikia kiu maana yake ushauchelewesha mwili kuupa maji, si vyema kunywa maji eti baada ya kuhisi kiu.

Pili.
Maji mtu anakunywa kutokana na uzito wake.

Ni kweli lita 5 ni nyingi mnoo, lakini lita 2-3 inabidi tunywe kwa siku kwa mtu mzima.. hapo factor ya kazi(kuutumikisha mwili) tumeweka pembeni.
Umetoa elimu badala yangu! Upo Sahihi Mkuu
 
Back
Top Bottom