Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

ITV na Radio One katika Kipindi nilichokisahau Jina ila Mtangazaji Miongozaji wake Julieth Robert kutokana na Urembo wake na Sauti yake tamu sijamsahau.
Nitatafuta hicho kipindi, Nami nimsikie, umenishawishi.
Fact Check:
Ushauri wa wataalamu wa afya:
  • Taasisi ya Sayansi, Uhandisi, na Tiba ya Marekani imebainisha kuwa kiwango cha kutosha cha maji kwa watu wazima wenye afya ni takriban lita 2.7 kwa wanawake na lita 3.7 kwa wanaume.
  • Hata hivyo, kiwango cha maji kinachohitajika kinaweza kutofautiana kutegemea mambo kama joto la mazingira, shughuli za mwili, hali ya kiafya, na mazingira unayoishi
  • Kupoteza maji mwilini kunaweza kusababisha madhara kama uchovu, kushindwa kuzingatia, na kupungua kwa uwezo wa kimwili
Umuhimu wa kunywa maji:

Kunywa maji ya kutosha ni muhimu kwa afya ya jumla ya mwili. Maji husaidia katika kuzuia matatizo kama kuvimba kwa kibofu cha mkojo, kuvimba kwa figo, na ukosefu wa maji mwilini.

Pia, maji husaidia katika kuzuia matatizo kama kuvimba kwa ngozi na kuhara.

Kwa kuongezea, maji yanaweza kusaidia katika kudhibiti uzito na kuboresha utendaji wa mwili.

Hitimisho:
Ingawa kuna maoni tofauti kuhusu kiwango sahihi cha kunywa maji kwa afya, ni muhimu kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya na kuzingatia mahitaji ya mwili wako.

Kunywa maji ya kutosha ni muhimu kwa afya ya jumla, lakini kiwango kinaweza kutofautiana kulingana na mambo mbalimbali kama joto la mazingira, shughuli za mwili, na hali ya kiafya.
Lita 2 hadi 3 kwa siku ni mwendo sitauacha, nimeona faida zake sana. Hiyo 5 sijawahi hata ifikiria
 
Yeye kaongelea lita 5 wewe waleta story
 
Ushauri wa Janabi ni kama anapigia debe kuongeza wateja kwenye taasisi anayoiongoza
 
Maji mengi yanaupotezea mwili madini muhimu wanasema it washes electrolytes... Vinginevyo unywe mineralsed water
Tena maji ya dukani ndio mabaya kabisa....kwasbb hata fluoride hayana na wakati fluoride ni muhimu sana kwenye mifupa na meno

Japo nayo ikizidi inaleta rangi ya gold kwny meno
 
Kwa hiyo Prof mwanzo aliwaingiza watu vyoo vya kike na kiume virseversa.
 
Kukosa, afya na kupatwa na malazi, ni nadharia tu au bahati mbaya, mchawi anao uwezo wa kukuloga kwa malazi yote pia nae nimwanasayansi, kama wanasayansi wengine, kikubwa chini ya jua, hatuna kinga wala nani tunaishi kwa bahati tu.
 

Janabi kazingua hapo.
Hakuna popote Watu wameambiwa Wangwe maji lita tano.

Mtu anakunywa maji kutokana na umri, jinsia na uzito wake.
Wastani ni lita 2-3 kwa Watu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…