Chief Wingi wa Maji unategemeana kati ya mtu na mtu, Umri,Uzito, Wingi wa shughuli au kazi anazofanya ,Na sehemu Ya kimazingira anayoishi..
Mkuu unywaji wa mji mengi Husababisha Kitu kinachoitwa kitaalamu Water intoxication au Hyponatremia .....
Kwasababu unapokunywa maji zaidi ya mwili unachohitaji Unaenda kudilute Sodium na madini mwngine mwilini..
Sasa bahati mbaya kama wewe si mlaji wa vyakula vya kuongeza mineral (Balance diet) unaweza ukasababisha matatizo..
Alichosema
GENTAMYCINE ni sahihi sana kwamba ni muhimu kusikiliza mwili wako nini unataka...Mwili kam ukitaka maji Utatoa signal na wewe utakunywa kwa ajili ya Hydration....
Kwa mfano una kilo 40,Una miaka 18 maji lita tano we ya nini?