Wapinzani wote wamelambishwa asali. Hata Mrema ni mpinzani lakini kila mkutano wa CCM yupo, yule mwingine anasema msifanye siasa za kuitukana serikali, kweli wananchi tu ndo hawajalamba asali.
upinzani Tanzania ni vichekesho!
Unahisi hata wasingefanya hivyo wangeshindwa? Unahisi mama Samia akigombea hatashinda?Kama hakuna upinzani kwanini walichafua chaguzi za 2019 na 2020?. Upinzani hauko defined na wachumia tumbo akina Lipumba ambao walishirikiana na CCM kupambana na Maalim Seif.
Awamu ya 5 waliponda kwa kila kitu kwa nini sasa hivi wapo kimya wanasifia yote yanayofanyika ina maana hamna makosa?Umemuona akifura?. Swali je ni dhambi kiongozi kuwaambia wafuasi wake wasiitukane serikali?.
πππππππupinzani Tanzania ni vichekesho!