Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

Lipumba analaumiwa bure. Katika mazingira na umati kama huu, unamsimamisha Lipumba asalimie umati ulitaraji aseme nini.
Tabora.jpg
 
Hivi kwanini 98% ya maoni ya wana ccm hujaa uzuzu, kebehi, uswahili na ulimbukeni?
Ni vyema hawa vijana wakajengewa uwezo ili waweze kupambanua mambo na kujibu hoja badala ya mara zote kuandika uzuzu bin utopolo!
 
Itakuwa yeye ameamua kutotaka na hivyo atakivunja Chama chake rasmi kwani hakina malengo Tena [emoji124]
Kwani kila chama kinataka nafasi ya Urais wengine Ubunge unawatosha
 
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.

2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli

3. Ndege tulizoambiwa na Zito Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana

4. Tanzania haijashutakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lisu

5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia

6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa Serikalini ,utendaji wa serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.

7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa
 
Habari mbaya kwa Lisu hii
 
Back
Top Bottom