#COVID19 Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

Pigo kubwa sana hili kwa Zinifu Gwajiboy
 
nchi zipi hizo? idadi ya wtu wangapi wamekufa kutokana na kupewa chanjo?
leta statistics zina support madai yako
Hawez kukupa hizo takwim, ni porojo tu ambazo hazina uhalisia!

Wapo watu hawataki chanjo, sasa wanaokoteza habari ambazo ni HOAX na kuzitumia kama hoja kutisha wengine. Kama wewe hutaki chanjo, ruhusu wanaozihitaji wachanjwe ili kulinda uhai wa wengine. Kuna watu wana magonjwa sugu, wanahitaji chanjo ili angalau waves zijazo zisiwape madhara.

Yes, inaweza kuwa chanjo zina madhara kama ambavyo hata dawa tunazotumia huwa zina madhara kwa wengine.

By the way, dawa ni dawa tu haiwezi kuwa sawa na mwili unavyokua kabla ya kula dawa yoyote.

Hivyo, ombi kwa serikali ifanye tathmini ya haraka ili chanjo ziletwe na kwa watakaopenda wachanjwe, kwani naaminj hatalazimishwa mtu.
 
..naona wamelegea sasa.

..utasikia karibuni chanjo inaingizwa nchini.
Sasa hapo wamelegea kivipi? hata mwanzo Magufuri alionya wizara ya afya wasililete chanjo pasipo kujilidhisha, sasahivi wizara ndio imeunda timu ya wataharamu kuchunguza hiyo dawa ya chanjo,kujua kama inatufaa au la,sasa mbona sioni jipya la kusema kwamba wameregea tiyari,tusubiri majibu ya wataharamu.
 
Watu wengine bana.. Hivi wamelegea nini.. ????
Hujui kile Rais aliagiza? nyie wapotoshaji mna laana ya mungu. Tuwaache watalaamu wafanye kazi kazi ya uchunguzi na ushauri.
 
Hii chanjo siyo kabisa! Kuna nchi nyingi tu za ulaya wamejikuta wanalazimisha kusitisha chanjo hizi. Watu wanakufa!! Siyo utani. Tujipe mwaka tu ili kufika 2022 muda kama huu kitu litakuwa kimeeleweka.

Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia suspend AstraZeneca Covid vaccine after reports of potentially fatal blood clots​

11 Mar, 2021 11:18
Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia suspend AstraZeneca Covid vaccine after reports of potentially fatal blood clots

(FILE PHOTO) © REUTERS/Dado Ruvic/Illustration
  • 1454

  • 2

Follow RT onRT
The rollout of the AstraZeneca Covid vaccine in Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia has been suspended as the health authorities investigate a possibly serious side effect in the form of fatal blood clots.
On Thursday, Danish Health Minister Magnus Heunicke tweeted that the country would be suspending the use of the Anglo-Swedish vaccine, which has already come under intense scrutiny across Europe and further afield.
 
(FILE PHOTO) [emoji2398] REUTERS/Dado Ruvic/Illustration
  • 1454

  • 2

Follow RT onRT
The rollout of the AstraZeneca Covid vaccine in Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia has been suspended as the health authorities investigate a possibly serious side effect in the form of fatal blood clots.
On Thursday, Danish Health Minister Magnus Heunicke tweeted that the country would be suspending the use of the Anglo-Swedish vaccine, which has already come under intense scrutiny across Europe and further afield.
ni nchi ngapi ukihesabu kati ya zilizo pokea chanjo?
na ni chanjo ipi inaongelewa hapa maana ziko nyingi.
 
Tafadhali Sana hiyo chanjo siyo kabisa! Wazungu wamejitahidi Sana kuficha madhara yake lakini imeshindikana. Wengi wamekufa kutokana na chanjo!
 
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo Yana chama.
 
Seriali ikubali ikatae,sitokaa nichome chanjo labda without my knowledge au kwa kushikwa kwa nguvu.
hata korona ikikupitia kwani una umuhimu gani kwa taifa, huna faida yoyote...jitu lenyewe ccm kafie mbele huko
 
ni nchi ngapi ukihesabu kati ya zilizo pokea chanjo?
na ni chanjo ipi inaongelewa hapa maana ziko nyingi.
Wamepokea wengi lakini wengi wameachana nazo kimyakimya kwa kuhofia kukorofishana na wakubwa. Hizo nilizopost ndio more recent! Chanjo zote za Uingereza na Marekani zimelalamikiwa. Na kwa kuwa nimezifuatilia kwa karibu na kwa taarifa za watu binafsi walioko huko. Hata wazungu wengi tu wamezigomea. Ndio wakaja na wazo la vaccine passports ili kuwashinikiza wote wachanjwe. Asiyechanjwa aendelee lockdown au azuiwe kutembelea public places. Hali ni tete hasa Uingereza!
 
UPUUZI MTUPU! Mbona chanjo nyingine kama za kifua kikuu, ndui etc hatukuwa na upumbavu kama huu bali Serikali iliyo madarakani iliiamini WHO na experts wengine duniani? Serikali zote za nchi nyingine za Africa haziwapendi Wananchi wao kwa kukubali kupokea chanjo bila kuleta ujinga ujinga ila hii Serikali inayojiita ya wanyonge! Ukiritimba wa hali ya juu.
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.

Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Wamepokea wengi lakini wengi wameachana nazo kimyakimya kwa kuhofia kukorofishana na wakubwa. Hizo nilizopost ndio more recent! Chanjo zote za Uingereza na Marekani zimelalamikiwa. Na kwa kuwa nimezifuatilia kwa karibu na kwa taarifa za watu binafsi walioko huko. Hata wazungu wengi tu wamezigomea. Ndio wakaja na wazo la vaccine passports ili kuwashinikiza wote wachanjwe. Asiyechanjwa aendelee lockdown au azuiwe kutembelea public places. Hali ni tete hasa Uingereza!

Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia suspend AstraZeneca Covid vaccine after reports of potentially fatal blood clots​

11 Mar, 2021 11:18
Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia suspend AstraZeneca Covid vaccine after reports of potentially fatal blood clots

(FILE PHOTO) © REUTERS/Dado Ruvic/Illustration
  • 1454

  • 2

Follow RT onRT
The rollout of the AstraZeneca Covid vaccine in Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia has been suspended as the health authorities investigate a possibly serious side effect in the form of fatal blood clots.
On Thursday, Danish Health Minister Magnus Heunicke tweeted that the country would be suspending the use of the Anglo-Swedish vaccine, which has already come under intense scrutiny across Europe and further afield.
 
hata korona ikikupitia kwani una umuhimu gani kwa taifa, huna faida yoyote...jitu lenyewe ccm kafie mbele huko
Hapana mimi sio CCM,punguza hasira mkuu,kila binadamu ana umuhimu sehemu fulani,sio lazima iwe kwa taifa zima.
 
Tujipe muda kama mwaka mmoja hivi!! Tusikimbilie hiyo chanjo iliyotengenezwa kwa mwendo kasi!! Hakuna aliye na uhakika kuhusu madhara yake baada ya muda mrefu!!
Hii chanjo wanataka kuijaribishia kwetu! Nani ajuaye kama kule ulaya wengi wanachanjwa placebo kama control halafu sisi ndo tukalambishwa yenyewe kwa majaribio. Hapana!!
 
Back
Top Bottom