Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawez kukupa hizo takwim, ni porojo tu ambazo hazina uhalisia!nchi zipi hizo? idadi ya wtu wangapi wamekufa kutokana na kupewa chanjo?
leta statistics zina support madai yako
Sasa hapo wamelegea kivipi? hata mwanzo Magufuri alionya wizara ya afya wasililete chanjo pasipo kujilidhisha, sasahivi wizara ndio imeunda timu ya wataharamu kuchunguza hiyo dawa ya chanjo,kujua kama inatufaa au la,sasa mbona sioni jipya la kusema kwamba wameregea tiyari,tusubiri majibu ya wataharamu...naona wamelegea sasa.
..utasikia karibuni chanjo inaingizwa nchini.
Hii chanjo siyo kabisa! Kuna nchi nyingi tu za ulaya wamejikuta wanalazimisha kusitisha chanjo hizi. Watu wanakufa!! Siyo utani. Tujipe mwaka tu ili kufika 2022 muda kama huu kitu litakuwa kimeeleweka.
ni nchi ngapi ukihesabu kati ya zilizo pokea chanjo?Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia suspend AstraZeneca Covid vaccine after reports of potentially fatal blood clots
11 Mar, 2021 11:18
![]()
(FILE PHOTO) [emoji2398] REUTERS/Dado Ruvic/Illustration
Follow RT on
- 1454
- 2
The rollout of the AstraZeneca Covid vaccine in Denmark, Estonia, Lithuania, Luxembourg, Latvia has been suspended as the health authorities investigate a possibly serious side effect in the form of fatal blood clots.
On Thursday, Danish Health Minister Magnus Heunicke tweeted that the country would be suspending the use of the Anglo-Swedish vaccine, which has already come under intense scrutiny across Europe and further afield.
Maendeleo Yana chama.Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
hata korona ikikupitia kwani una umuhimu gani kwa taifa, huna faida yoyote...jitu lenyewe ccm kafie mbele hukoSeriali ikubali ikatae,sitokaa nichome chanjo labda without my knowledge au kwa kushikwa kwa nguvu.
Wamepokea wengi lakini wengi wameachana nazo kimyakimya kwa kuhofia kukorofishana na wakubwa. Hizo nilizopost ndio more recent! Chanjo zote za Uingereza na Marekani zimelalamikiwa. Na kwa kuwa nimezifuatilia kwa karibu na kwa taarifa za watu binafsi walioko huko. Hata wazungu wengi tu wamezigomea. Ndio wakaja na wazo la vaccine passports ili kuwashinikiza wote wachanjwe. Asiyechanjwa aendelee lockdown au azuiwe kutembelea public places. Hali ni tete hasa Uingereza!ni nchi ngapi ukihesabu kati ya zilizo pokea chanjo?
na ni chanjo ipi inaongelewa hapa maana ziko nyingi.
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Wamepokea wengi lakini wengi wameachana nazo kimyakimya kwa kuhofia kukorofishana na wakubwa. Hizo nilizopost ndio more recent! Chanjo zote za Uingereza na Marekani zimelalamikiwa. Na kwa kuwa nimezifuatilia kwa karibu na kwa taarifa za watu binafsi walioko huko. Hata wazungu wengi tu wamezigomea. Ndio wakaja na wazo la vaccine passports ili kuwashinikiza wote wachanjwe. Asiyechanjwa aendelee lockdown au azuiwe kutembelea public places. Hali ni tete hasa Uingereza!
Hapana mimi sio CCM,punguza hasira mkuu,kila binadamu ana umuhimu sehemu fulani,sio lazima iwe kwa taifa zima.hata korona ikikupitia kwani una umuhimu gani kwa taifa, huna faida yoyote...jitu lenyewe ccm kafie mbele huko