Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Muda utaongea!
Watanzania jiandaeni mambo ndio hayo yanarudi taratibu
Na wanaoyarudisha ni wale wale majizi wa kura uliokuwa unawashabikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda utaongea!
Watanzania jiandaeni mambo ndio hayo yanarudi taratibu
Huu upumbavu wa kumjadili mtoa hoja badala ya kujadili hoja ndiyo umetufikisha kwenye huu upumbavu unaolitafuna taifa. Hebu mpinge kwa hoja zake labda unaweza kuwa na mawazo bora zaidi, vinginevyo shut up.
Na wanaoyarudisha ni wale wale majizi wa kura uliokuwa unawashabikia.
Sasa Lissu anaingiaje hapo wakati serikali ni ya CCM na ilani ni ya CCM!Tundu Lissu, Muhongo, Lema na Chadema kwa ujumla mkitaka kuuwa legacy ya hayati rais Magufuli kwa watanzania itabidi ufanye yafuatayo.
Ethiopia wako kwwnye conflict na Egypt kwa sababu ya grand Ethiopian Dam, na wenyewe wamekurupuka? Au hawana maono?Hii ni miradi inaitwa WHITE ELEPHANTS. Unaweza ukaimaliza lakini isikupe Desired Return on Investment.
Kwa mfano SGR hata ikimalizika kwenda huko Rusumo sijui ambako tuna target mzigo wa Rwanda, bado haina faida kwa vile throughout ya Rwanda ni less than 800k metric tons per annum.
Mzigo wa ndani ni very insignificant kwa vile Magufuli hakuwa na vision. Anajenga reli huku anaua sekta binafsi. Amefirisi akina Yusuf Manji, amewatisha kina Mo Dewji kwa kuwateka, amesababisha vifo vya akina Mufuruki na Shamte kwa chuki zake, Je anategemea local traders gani wasafirishe mzigo kwenye SGR?
Hiyo Stiglers Gorge ni upotevu wa Matrilioni ya hela tu kwa kuwa mabadiliko ya tabia nchi ndiyo adui mkubwa wa hydro electricity. Kamwe hawezi kupata hizo megawatt 2100 kama alivyotamba kwenye maradio na matv.
Ameshia kuharibu baioanuai ya selous tu na kuteremsha hadhi ya pori tengefu
Tukiwa objective Muhongo ameongea ukweli kabisa sema tu mtoa mada kachukua Kipande kinachofit maslahi yake.Huyu Professa aliebariki michongo ya IPTL leo ndio anaishauri serikali
Sasa hivi kwa mujibu wenu matatizo yote ameondoka nayo Magufuli, maana yeye ndio akikuwa tatizo hapa nchini kwa hiyo jiandaeni kuishi kwa neema!Na wanaoyarudisha ni wale wale majizi wa kura uliokuwa unawashabikia.
Je mabwawa ya Ethiopia, Ghana na kwingineko hayana faida. Muhimu tuwe na umeme mchanganyiko na siyo kuacha ule wa maji,hakuna. Tusiwe wanafiki. Urithi wa miradiCCM acheni unafiki
Kaka hiyo gas yenyewe iko wapi kaka, gas ile tulisha pigwa tangu enzi za mkwere hakuna gas kule ile ni mali ya watu. Magu ameingia kakuta tayari hakuna chetu kule ndio mana akaona bora aje na huo mradi wa umeme wa maji.Niliwahi kusema siku Magufuli anatoka madarakani, hasa iwapo huo mradi wa SG utakuwa haujakamilika utatekelezwa. Yale ambayo yalikuwa dhahiri kwangu yameanza kutokea.
Je ni kwanini niliwaza hayo? Kimsingi nilijua nchi hii haina sera wala mipango, bali kuna maslahi ya rais aliye madarakani na genge lake. Wakati vwa JK tuliimbishwa umeme wa Gas kama wendawazimu, na yakapigwa mashahiri yote. Tuliambiwa umeme wa gas ukikamilika tutakuwa na 5,000mg+. Cha ajabu wakati tukiimbishwa hayo mapambaio, Magufuli alikuwa waziri tena akawa anaunga mkono mradi ule. Alipoingia madarakani akaona hana maslahi binafsi na umeme wa gas. Akaona afanye mradi wa umeme kwa maji tuliokuwa tunaambiwa matatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Hii yote ni ili apate maslahi binafsi yeye na genge lake. Ndio hapo unasikia sijui taarifa ya upembuzi ni ya 1970 nk.
Sasa tuje kwenye ukweli, hivi unawezaje kuanzisha mradi mpya wa umeme ili kupata 2,115mg kwa 6.5t, unaacha umeme wa gas ambapo ungeweza kupata 5,000mg? Je angeweka 3t kwenye gas asingepata hizo 2,115mg, na 3.5t akiziweka kwenye viwanda?
Mnàfiki tu huyu!!!Huyu Professa aliebariki michongo ya IPTL leo ndio anaishauri serikali
Kwani ameongelea reli mkuu??? Hivo vinu vya stigler gorge life span yake ni miaka mingapi compared na pesa iliyowekezwa??? Uchumi wa dunia unahama kutoka hydro power plants inahamia kwenye gesi na nuclear sisi tunawekeza trillions of money kwa vitu ambavyo lifespan yake haitafika 30 yrs to come!! Hicho kinachofanyika sasa kilitakiwa kifanyike miaka 50 iliyopita.tukisitisha ujenzi wa hivyo vinu,ni mwanao ndiye atakuja kuona madhara ya kutokuwa na vyanzo vingi vya nishati.kwa sasa wewe unaangalia kitambi chako na akili yako scope hake mwisho ni kkutwa jion,zaidi ya hapo haioni kitu.
reli inajengwa iishi miaka zaidi ya 100,unazungumzia faida ndani ya miezi 3,kwani mnafikirije wenzetu mbona mko slow namna hii!!!!
tanzania inakua ndugu zangu,miaka 10 tu ijayo itakuwa na uhitaji wa kila kitu kwa ukubwa zaidi,iwe heri kwa tanzania mama asisitishe miladi kwa kuogopa kelele za watu kama nyinyi,ni hatari kwa taifa lijalo.
CAG ametumia pua yake na kipara,kutoa tathmini ya miladi,miladi yote inaonekana kuwa haina tija,ni kweli haina tija!!!au tumechoka kufikiri??
Iptl ipi? au hujui alieleta Iptl nyakati hizo ulikuwa kijjn au hujazaliwaHuyu Professa aliebariki michongo ya IPTL leo ndio anaishauri serikali
Gesi ya nchi hii inakuaje mali ya watu??? Kama rais aliingia madarakani akakuta tayari gesi ya mtwara ni mali ya watu ni akina Nan hao ambao alishindwa kuwatambua mpaka aanzishe mradi mwingine ambao pengine alikua na maslahi nao!! Kwani tukisema rais wenu alikua dhaifu tunakosea???Kaka hiyo gas yenyewe iko wapi kaka, gas ile tulisha pigwa tangu enzi za mkwere hakuna gas kule ile ni mali ya watu. Magu ameingia kakuta tayari hakuna chetu kule ndio mana akaona bora aje na huo mradi wa umeme wa maji.
Unaposema nchi haina sera maalum ni kweli sikupingi na sababu kubwa ni hawa viongozi wenye tamaa za kifisi fisi.
Wafute tu miradi yote waanzishe mipya wapige hela
Nadhani kwa waliona uwezo wa ku-google wafanye hivyo ili kuthibitisha usemi wake,naona kila aliyekuwa na visasi moyoniAkichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi
Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati.
Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema uchumi wa gesi pekee ndiyo utakaoifikisha Tanzania kwenye uchumi thabiti.
Profesa Muhongo ametoa kauli hiyo wakati akichangia kwenye mpango wa Serikali leo Aprili 9,2021 bungeni Jijini Dodoma
Waziri huyo wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini amesema Tanzania kuendelea kuwaza kuhusu madini yaliyopo ni kuchelewa huku akikosoa mawazo ya kutegemea uzalishaji wa umeme mkubwa kwa kutumia maji.
Amesema Tanzania inatakiwa ijikite katika matumizi ya umeme mchanganyiko badala ya kutegemea mabwawa ya Maji ambayo wakati wowote yanaweza kukauka.
"Kuwekeza katika umeme wa maji halafu unasema utaleta fedha, huko ni kujidanganya kwani umeme wa maji huchukua muda mrefu kuanza kutoa faida, huko wenzetu wamepita wanafanya mambo kisasa” amesema Profesa Muhongo.
Amesema dunia ya sasa imegeuka na madini mengi yanayotarajiwa Tanzania yapo lakini wengine wameelekeza kwenye dhahabu, Tanzanite na madini mengine ya zamani lakini wanaacha kuangalia madini mapya ambayo yataliingizia Taifa fedha nyingi.
NB: Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka sasa kila mtu CCM rangi yake ya zamani imeanza kurudi
Hivi kweli mmeanza kupinga project ya Rufiji baada ya Dkt. Magufuli kudondoka
CCM acheni unafiki
Mkuu King Bill,Naona unawaza kizamanizamani tu!
Yaani Tesla waje waweke kiwanda cha magari ya umeme hapa Tanzania yatengenezwe hapa halafu yapelekwe Marekani kwenye soko?
Kufuata hayo madini yako.
Au hata matumizi makubwa ya nickel na graphite huyajui?
Hebu acheni kuandika hoja as if unaandika a fiction book.
Nasubiri kumsikia Andrew Chenge na Jaji Werema, yule mwindaji wa Tumbili
Tangu amuite Meko mzalendo uchwara katulizwaMtaalam wa madini mwenyewe Dr DALALI KAFUMU sijui yuko wapi siku hizi
Muhongo na jiwe alidharau watazNa kama anasema umeme wa maji umepitwa na wakati aulize Misri na Sudan na Ethiopia wanazozania gesi ya mto Nile?
Mpumbavu sana huyu Prof.
Na hii inatokana na kuwadharau Watanzania. Wanadhani hatujui dunia ilipo.