Kasome kwanza, acha ngono, ukiingia level ya chuo utakuwa huru kufanya ngono kwa nafasi utakavyo.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hapo Dodoma?Kuna mwalim kapiga 3some
Ova
Hujaelewa dhihaka nyuma ya alichoandika..amepinga na kuonesha kutokubaliana na uamuzi huu wa serikali ambao kimsingi unaenda kubariki zinaa na uvunjifu wa maadili kwa kuondoka kwa ile hofu ya kufukuzwa shule. Nami nasema serikali igharamie kabisa gharama za huduma ya mama na mtoto kipindi cha na baada ya ujauzito ili " kuwatia zaidi moyo" mabinti. Mzee Magu kaondoka sasa nchi "inafunguliwa kweli kweli"Hiyo ni ngumu kidogo. Tuseme serikali inaratibu na kugharamia ndoa za hawa wasichana wahanga. Si itaonekana wagharamie pie ndoa za wavulana, ili kutenda haki? But seriously, siyo haki kusitisha masomo kwa msichana kisa amepata ujauzito. Huo ni unyanyasaji uliopitiliza. Mindset aina hii ni za kibaguzi, kiume na kibinafsi
Nimeelewa vizuri sana dhihaka, na mie nikaongeza dhihaka, na baadaye nikasema "seriously". Naelewa vizuri hoja ya maadili na zinaa. Nikwambie kitu, tunatakiwa kuzama zaidi ili kupata SULUHU mujarab. Shida hapa ni zinaa, na hasa zinaa ya kizembe.Hujaelewa dhihaka nyuma ya alichoandika..amepinga na kuonesha kutokubaliana na uamuzi huu wa serikali ambao kimsingi unaenda kubariki zinaa na uvunjifu wa maadili kwa kuondoka kwa ile hofu ya kufukuzwa shule. Nami nasema serikali igharamie kabisa gharama za huduma ya mama na mtoto kipindi cha na baada ya ujauzito ili " kuwatia zaidi moyo" mabinti. Mzee Magu kaondoka sasa nchi "inafunguliwa kweli kweli"
Kumfukuza ni deterrent kudhibiti zinaa..sasa bila detterent si ni fungulia mbwa sasa?Nimeelewa vizuri sana dhihaka, na mie nikaongeza dhihaka, na baadaye nikasema "seriously". Naelewa vizuri hoja ya maadili na zinaa. Nikwambie kitu, tunatakiwa kuzama zaidi ili kupata SULUHU mujarab. Shida hapa ni zinaa, na hasa zinaa ya kizembe.
Sasa, mimba ni matokeo ya zinaa. Zinaa inahitaji wawili. Tunatakiwa kuadhibu wafanya zinaa, lakini sio kuvuruga maisha yao, na kwa hakika, hatutakiwi kuwanyima haki ya msingi. Hata muuaji aliyehukumiwa kifo, bado ana haki za msingi. Elimu ni haki ya msingi. Kumwadhibu msichana eti kwa kuwa ndio amekutwa na mimba, ni uvivu wa kufikiri. Mimba yenyewe tu ni adhabu tosha.
Yeye na marehemu ni kitu kimojaUzuri wa MATAGA watapiga makofi tena na kushangilia, hawa watu akili zao wanazijua wenyewe tu. Hawanaga msimamo siku zote.
Mmeanza kinuna, acheni watoto wasomeKwanini serikali isihakikishe wanaolewa kwa kugharimia harusi zao hukohuko shuleni?