Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

Hatujawahi kutumia akili vizuri;
. Mtoto wa kike anabakwa anapata mimba
Na shule anafukuzwa...tunamkomoa nani?
Kwanini asipewe nafasi kujutia makosa asome ajikwamue?

Hii ni sheria kandamizi iondolewearaka
 
Bebesha afu unaswe ndio utajua ni ishu au sio ishu.

Pili ni kweli ni haki yao kwani mimba ndio inamzuiaje mtu haki yake? Mtizamo wa Jiwe sio mtizamo wa nchi
Yakiwafika watajua maumivu haya sheria kandamizi.
Wanaweke wanakandamizwa sana
 
Tutegemee haki za minority au makundi maalumu almaarufu kama LGBT au kwa lugha rahisi ndoa za jinsia moja kukubalika. Safari moja huanzisha nyingine! Enzi za JPM hakuna ambaye angethubutu kuweka masharti hayo. Maana inajulikana fika kuwa jambo hilo halina hata nafasi ya kujadiliwa.
 
Hatujawahi kutumia akili vizuri;
. Mtoto wa kike anabakwa anapata mimba
Na shule anafukuzwa...tunamkomoa nani?
Kwanini asipewe nafasi kujutia makosa asome ajikwamue?

Hii ni sheria kandamizi iondolewearaka
"ukila nyama ya mtu hutoacha kuila tena"

"Ukishaanza kufanya ngono hutoacha kufanya tena"

Samaki mmoja akioza mtoe, ukimuacha ataozesha wengine.
 
Ndalichako ana ugonjwa wa akili!Haya siyo makubaliano ya serikali na world bank.Alivyo na akili fupi anafikiri kuwa anaweza kuwalaghai wazungu kirahisi namna hii.She is hopeless!
 
Akipata Mimba Nyingine form 3 wakati ya kwanza aliipata akiwa form one?
 
Waangalie pia adhabu anayopewa aliyempachika mimba huyo binti haina faida yoyote kwanini isiwe adhabubya kifungo cha nje na kulazamisha huyo jamaa atimize mahitaji ya mtoto na mama yake. Alafu mantiki ya kusema kumpa mimba under 18 ni kubaka sio poa kabisa. Mtu mwenye uwezo wa kubeba mimba unasemaje ni mdogo?
 

Hiyo imewekwa ili mwanafunzi wa kike kuingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi uone kama kituo cha polisi, wakiruhusu na mwanaume aliyempa mimba aachiwe huru, hawa boda boda watazalisha sana wanafunzi wa kike.
 
Nadhani wekeni masharti ya kurudi shule! Mimi napendekeza kwanza mwanafunzi amtaje aliyemtia mimba afungwe jela then ndiyo aruhusiwe.
Vinginevyo tutakuwa tunasomesha akina Mama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…