Wanatumia jina la Chadema kutapeli wananchi na serikali,kama wanaweza waitwe wabunge binafsi au wa mahakama ili wajitenge na Jina la ChademaHv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Mheshimiwa Ndugai naona wanazidi kuharibikiwa kila uchao.Sasa mbona mahakama haijawafukuza ubunge?
Wao walikwenda kupinga kufukuzwa uanachama wa chadema sio ubunge wa viti maalum
Ni kodi za watanzania zinatumika, sio kodi za CHADEMAHv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Mimi nikitumia jina lako la mjingamimi na wewe ukaniacha ujinga utapasua bichwa lako.Sasa shida inakuja wapi?
Wakati sio wanachama wenu,mmeshawafukuza uanachama .kwanini chadema ndo inahangaika na akina halima na sio vyama vinginevyo?hao ni Kama kunguru mmeshawashindwa kuwafuga Basi waacheni na maisha yao.
Chadema ndiyo wahuni wanafanya Mambo Yao kihuni waliqapeleka wenyewe wakagombana ndani ya chama qanataka kuwafukiza chadema acheni utotoWanatumia jina la Chadema kutapeli wananchi na serikali,kama wanaweza waitwe wabunge binafsi au wa mahakama ili wajitenge na Jina la Chadema
Betina anatuonyesha kwa matendo kuwa kashindwa u Spika, hafai. Jua lishamchwea mapema.Pia hii ni aibu kwa bunge. Lina jidhalilisha. Tangu mwanzo bunge limejidhalilisha na linaendelea kuonyesha udhaifu wa hali ya. Juu
Ndugu,Chadema ndiyo wahuni wanafanya Mambo Yao kihuni waliqapeleka wenyewe wakagombana ndani ya chama qanataka kuwafukiza chadema acheni utoto
Aliyeidharau anashitakiwa mahakamaniMahakama ikidharauliwa nini kinafanyika?
Kama waliona Kuna fojary imefanyika kuwapeleka kwanini wasiende kushitaki huyo aliye foji kama una akili timamu hapo tu utawaona chadema walivyo mabwege na wanavyopenda kesi tayari wangemqambia kibatala zoba akafungue jaradaNdugu,
kama una vielelezo na ushahidi huo, basi peleka kwenye vyombo husika vya dola, ili waliyohusika wachukuliwe hatua za kisheria na CHADEMA ifutwe. Hauna basi enenda ukatubu na uwaombe msamaha uliowakosea. Amen
Anajuwa Sheria hafuati mihemuko yenuBetina anatuonyesha kwa matendo kuwa kashindwa u Spika, hafai. Jua lishamchwea mapema.
View attachment 2270509
Sahihi kabisa. Hii jeuri inatokea IkuluUkimuona kobe juu ya mti ujue amepandishwa
Tatizo hamjui Sheria mtaongea mengi sanaSahihi kabisa. Hii jeuri inatokea Ikulu
Watia huruma. Kumbe pamoja kubwabwaja sio tu hauna ushahidi/vielelezo wala HOJAKama waliona Kuna fojary imefanyika kuwapeleka kwanini wasiende kushitaki huyo aliye foji kama una akili timamu hapo tu utawaona chadema walivyo mabwege na wanavyopenda kesi tayari wangemqambia kibatala zoba akafungue jarada
TunamsubiriAnajuwa Sheria hafuati mihemuko yenu
Wajinga kama wewe ni wengi na hatuna namna ya kuwasaidia zaidi ya kuwaonea huruma!Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Roho mbaya tu! Kwa hiyo akina Halima wakitoka bungeni hawatapeleka wengine?
Wanataka akina Halima Mdee watoke ili wawaweke vimada waoHv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Tuwekee hapa hicho kifungu cha sheria. Otherwise piga kimyaTatizo hamjui Sheria mtaongea mengi sana