Profesa Safari: Halima na wenzie wanapaswa kukamatwa kwa kuidharau Mahakama

Hv chadema wanapata hasara kiasi gani hawa wabunge wakiwepo bungeni.?
Wanatumia jina la Chadema kutapeli wananchi na serikali,kama wanaweza waitwe wabunge binafsi au wa mahakama ili wajitenge na Jina la Chadema
 
Sasa shida inakuja wapi?
Wakati sio wanachama wenu,mmeshawafukuza uanachama .kwanini chadema ndo inahangaika na akina halima na sio vyama vinginevyo?hao ni Kama kunguru mmeshawashindwa kuwafuga Basi waacheni na maisha yao.
Mimi nikitumia jina lako la mjingamimi na wewe ukaniacha ujinga utapasua bichwa lako.
 
Wanatumia jina la Chadema kutapeli wananchi na serikali,kama wanaweza waitwe wabunge binafsi au wa mahakama ili wajitenge na Jina la Chadema
Chadema ndiyo wahuni wanafanya Mambo Yao kihuni waliqapeleka wenyewe wakagombana ndani ya chama qanataka kuwafukiza chadema acheni utoto
 
Pia hii ni aibu kwa bunge. Lina jidhalilisha. Tangu mwanzo bunge limejidhalilisha na linaendelea kuonyesha udhaifu wa hali ya. Juu
Betina anatuonyesha kwa matendo kuwa kashindwa u Spika, hafai. Jua lishamchwea mapema.
1656060448952.png
 
Chadema ndiyo wahuni wanafanya Mambo Yao kihuni waliqapeleka wenyewe wakagombana ndani ya chama qanataka kuwafukiza chadema acheni utoto
Ndugu,
kama una vielelezo na ushahidi huo, basi peleka kwenye vyombo husika vya dola, ili waliyohusika wachukuliwe hatua za kisheria na CHADEMA ifutwe. Hauna basi enenda ukatubu na uwaombe msamaha uliowakosea. Amen
 
Kama waliona Kuna fojary imefanyika kuwapeleka kwanini wasiende kushitaki huyo aliye foji kama una akili timamu hapo tu utawaona chadema walivyo mabwege na wanavyopenda kesi tayari wangemqambia kibatala zoba akafungue jarada
 
Profesa anapoamua kudanganya kwa manufaa ya kisiasa.
 
Kama waliona Kuna fojary imefanyika kuwapeleka kwanini wasiende kushitaki huyo aliye foji kama una akili timamu hapo tu utawaona chadema walivyo mabwege na wanavyopenda kesi tayari wangemqambia kibatala zoba akafungue jarada
Watia huruma. Kumbe pamoja kubwabwaja sio tu hauna ushahidi/vielelezo wala HOJA
 
Roho mbaya tu! Kwa hiyo akina Halima wakitoka bungeni hawatapeleka wengine?

Watawapeleka ambao watakuwa wanawapa 10% na wengi ni ndugu zao na wake zao, mfano MKE mdogo wa Mwenyekiti
 
Back
Top Bottom