Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya shivji? Yule trump aliyekuwa rais wa marekani ana biashara dunia nzima, vp nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?

Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Wewe pia hapa na ujinga wako! Balozi ana law firm ambayo inatetea kampuni zinazoishitaki Tanesco, huyo mama huoni kuwa katika Bodi ya tanesco si sahihi? Je, vetting imefanyika Sawa? Au kwa vile walimwajiri Ridiwani Kikwete wakati huo
 
Ulikuwa ni uongo, Tanesco ni dili japo WAnapata hasara kubwa kila mwaka billions, lakini katika ulaji kwa maana ya manunuzi Kuna pesa nyingi mno, entity zinazoongoza kwa zabuni za pesa mingi nchi hii NI
1. Tanroad
2.Taneaco
3.REA
SASA KAMA UKIWEZA KUCONTROL HIZO 2, 3 UKAWEKA WATU WAKO ULAJI NJE NJE, MAKAMBA NI BIG BRAIN
Mkuu BIG BRAIN kwa wizi wa mali ya umma!
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma...
WaTanzania hamueleweki!! Kuna thread ipo humu ikidai TANZANIA inahitaji watu wa private sector wenye exposure ndio wasimamie taasisi za umma ili ziwe na ufanisi. Leo tena oooh wafanya biashara wasiwe kwenye kusimamia hizi taasisi? Which is which.

Muda mwingine naona Magufuli alikua sahihi tu kufanya alichojisikia yeye hata kama ni mistake sababu waTZ hawaeleweki wanataka nini.
 
Utawala wa Trump ulijaa ufisadi ndio maana hakuchaguliwa tena mara ya pili na bunge lilimu impeach.

Wananchi walio wengi wakiamua kumchagua yoyote kupitia uchaguzi huru kuwa Rais wao hakuna tatizo, hata akiwa na "faili Mirembe".
Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya shivji? Yule trump aliyekuwa rais wa marekani ana biashara dunia nzima, vp nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?

Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof shivji angekuja na maoni haya pia?!!
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.

Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.

Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

Hiyo ya Rex Attorney kuwa ni wanasheria wa Dowans na Symbio ktk kesi dhidi ya Tanesco. Hapa kuna shida sana kwenye vetting ya board members kabla ya kuteuliwa
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.

Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.

Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

Watu wana maslai binafsi na tanesco waendelee kunemeka tunahitaji katiba mpya
 
WaTanzania hamueleweki!! Kuna thread ipo humu ikidai TZ inahitaji watu wa private sector wenye exposure ndio wasimamie taasisi za umma ili ziwe na ufanisi..... Leo tena oooh wafanya biashara wasiwe kwenye kusimamia hizi taasisi?? Which is which.

Muda mwingine naona Magufuli alikua sahihi tu kufanya alichojisikia yeye hata kama ni mistake sababu waTZ hawaeleweki wanataka nini.
Kufikiri alikuwa sahihi kwa sababu hiyo ni kutokuwa na uwezo wa kufikiri kama sio kukosa akili
 
Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?

Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Ingawa unalindwa na katiba kutoa maoni ila hapa umeandika pumba hazifai kulishwa nguruwe
 
WaTanzania hamueleweki!! Kuna thread ipo humu ikidai TZ inahitaji watu wa private sector wenye exposure ndio wasimamie taasisi za umma ili ziwe na ufanisi..... Leo tena oooh wafanya biashara wasiwe kwenye kusimamia hizi taasisi?? Which is which.

Muda mwingine naona Magufuli alikua sahihi tu kufanya alichojisikia yeye hata kama ni mistake sababu waTZ hawaeleweki wanataka nini.
Mkuu tatizo ni aina ya watu, unakumbuka issue ya huyu mama Maajar? Kipindi kile Cha Dowans na Tanesco
Leo ukimuweka kwenye bodi unategemea nini?
 
Back
Top Bottom