Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Hiyo ya Rex Attorney kuwa ni wanasheria wa Dowans na Symbio ktk kesi dhidi ya Tanesco. Hapa kuna shida sana kwenye vetting ya board members kabla ya kuteuliwa
Inafikirisha pasipo kuwa na jibu, how this happened??? Mtu aliye na direct interest to be in such a position??

Kweli hili halikuonekana??

Haya mambo ukiyawaza sana unaweza pata stroke,
 
Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Jiulize alikua marekani muda mrefu halafu kaja jana wanasema ameteua, tena majina yametoka bado akiwa uwanja wa ndege anashangilia kurudi kwake.

Mbaya zaidi wanasema aliteua alhamisi siku ambayo alikua anahutubia UN.

Yule wanampa tu anasaini basi.
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.

Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.

Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

Halafu hichi kiprofessa juzi juzi kilikuwa kinapayuka eti Tanzania haihitaji katiba mpya kwa sasa. Sijui bado kitaendelea kuamini hivyo?

Ngoja tuendelee kupigwa mpaka akili ziwakae makada wa kijani wajinga wajinga ndio waamke.

Mama Samia, January Makamba na Msoga gang endeleeni hivyo hivyo kuupiga mwingi, pigeni pesa haswaa, msirudi nyuma, mpaka makada walie.
 
Jiulize alikua marekani muda mrefu halafu kaja jana wanasema ameteua, tena majina yametoka bado akiwa uwanja wa ndege anashangilia kurudi kwake.

Mbaya zaidi wanasema aliteua alhamisi siku ambayo alikua anahutubia UN.

Yule wanampa tu anasaini basi.
Hatuna rais tena, tuna copy ya rais kwa sasa. Yule mama tulipgwa mchana kweupeee.
 
Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Kama ni kweli atakuwa anaudhalilisha urais.
 
Ukifuatilia kwenye mitaa ya Twitter huyo Prof wamempiga spana vizuri wakitoa na mifano hai ya S.O.Es zinazoendeshwa kibiashara zinavyofanya vizuri kwa huduma na biashara
 
Huyu mama anazidi kutuchanganya kabisa hajui tuuu ni jinsingani watu hatumuelewi katika watu 60m plus hajaona mpaka hao hao kweliiiiii.!!!!!!
 
Leo nimesikia kwenye mkutano wa viongozi wa TANESCO na waziri kwamba shirika lijiendeshe kibiashara.

Unajiuliza, tanesco msingi wa uanzilishwaji wake ilikua ni nini, quality service delivery ama profit oriented?

Kama waziri anataka Tanesco ijiendeshe kibiashara, itakuwa ngumu watu kuunganishiwa umeme. Ndio maana serikali ilikuja na hoja ya 27000 kwa kila mtu ili kuongeza uunganishwaji kwenye umeme.

Je kwa uhalisia gharama za kuunganisha umeme ni kiasi gani?
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.

Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.

Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

Mzee Prof. Shivji pole sana kwa teuzi kukupita kushoto- nakumbuka hata kwenye tume ya katiba mpya na bunge lenyewe uliachwa. Ila ulikuja saidia nchi ulipomuumbua Waryoba na takwimu zake za kuunga unga. Hili la bodi ya Tanesco litafakari upya- nadhani sheria na kanuni za bodi zinashauri na walaji wa huduma husika pia wawemo kwenye bodi- labda hicho kigezo kimetumika
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.

Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.

Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

Dah wakati wa Moto watu walijificha leo ndo wanatoka ...kweli CHADEMA INA HITAJIKA SANA
 
Kufikiri alikuwa sahihi kwa sababu hiyo ni kutokuwa na uwezo wa kufikiri kama sio kukosa akili
Bottom line ni kwamba, kheri ufanye unachojisikia bila kusubiri endorsement ya wananchi maana wao hawaeleweki wanataka A or B.
 
Mkuu tatizo ni aina ya watu, unakumbuka issue ya huyu mama Maajar? Kipindi kile Cha Dowans na Tanesco
Leo ukimuweka kwenye bodi unategemea nini?
Yes kwenye uadilifu kuna hoja ya msingi ila sio eti kwa kuwa wapo private sector au ni wafanya biashara basi hawafai kuongoza bodi za taasisi ya umma?
 
Back
Top Bottom