Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

Wewe pia hapa na ujinga wako! Balozi ana law firm ambayo inatetea kampuni zinazoishitaki Tanesco, huyo mama huoni kuwa katika Bodi ya tanesco si sahihi? Je, vetting imefanyika Sawa? Au kwa vile walimwajiri Ridiwani Kikwete wakati huo
 
Mkuu BIG BRAIN kwa wizi wa mali ya umma!
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma...
WaTanzania hamueleweki!! Kuna thread ipo humu ikidai TANZANIA inahitaji watu wa private sector wenye exposure ndio wasimamie taasisi za umma ili ziwe na ufanisi. Leo tena oooh wafanya biashara wasiwe kwenye kusimamia hizi taasisi? Which is which.

Muda mwingine naona Magufuli alikua sahihi tu kufanya alichojisikia yeye hata kama ni mistake sababu waTZ hawaeleweki wanataka nini.
 
Utawala wa Trump ulijaa ufisadi ndio maana hakuchaguliwa tena mara ya pili na bunge lilimu impeach.

Wananchi walio wengi wakiamua kumchagua yoyote kupitia uchaguzi huru kuwa Rais wao hakuna tatizo, hata akiwa na "faili Mirembe".
 
Hiyo ya Rex Attorney kuwa ni wanasheria wa Dowans na Symbio ktk kesi dhidi ya Tanesco. Hapa kuna shida sana kwenye vetting ya board members kabla ya kuteuliwa
 
Watu wana maslai binafsi na tanesco waendelee kunemeka tunahitaji katiba mpya
 
Kufikiri alikuwa sahihi kwa sababu hiyo ni kutokuwa na uwezo wa kufikiri kama sio kukosa akili
 
Ingawa unalindwa na katiba kutoa maoni ila hapa umeandika pumba hazifai kulishwa nguruwe
 
Mkuu tatizo ni aina ya watu, unakumbuka issue ya huyu mama Maajar? Kipindi kile Cha Dowans na Tanesco
Leo ukimuweka kwenye bodi unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…