Inafikirisha pasipo kuwa na jibu, how this happened??? Mtu aliye na direct interest to be in such a position??Hiyo ya Rex Attorney kuwa ni wanasheria wa Dowans na Symbio ktk kesi dhidi ya Tanesco. Hapa kuna shida sana kwenye vetting ya board members kabla ya kuteuliwa
Jiulize alikua marekani muda mrefu halafu kaja jana wanasema ameteua, tena majina yametoka bado akiwa uwanja wa ndege anashangilia kurudi kwake.Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Halafu hichi kiprofessa juzi juzi kilikuwa kinapayuka eti Tanzania haihitaji katiba mpya kwa sasa. Sijui bado kitaendelea kuamini hivyo?Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.
Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.
Unaweza kusoma mwenyewe hapa.
Hatuna rais tena, tuna copy ya rais kwa sasa. Yule mama tulipgwa mchana kweupeee.Jiulize alikua marekani muda mrefu halafu kaja jana wanasema ameteua, tena majina yametoka bado akiwa uwanja wa ndege anashangilia kurudi kwake.
Mbaya zaidi wanasema aliteua alhamisi siku ambayo alikua anahutubia UN.
Yule wanampa tu anasaini basi.
Kama ni kweli atakuwa anaudhalilisha urais.Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Halafu eti nae anatarajia kuingia ulingoni twenty twenty five!!Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Je kwa uhalisia gharama za kuunganisha umeme ni kiasi gani?Leo nimesikia kwenye mkutano wa viongozi wa TANESCO na waziri kwamba shirika lijiendeshe kibiashara.
Unajiuliza, tanesco msingi wa uanzilishwaji wake ilikua ni nini, quality service delivery ama profit oriented?
Kama waziri anataka Tanesco ijiendeshe kibiashara, itakuwa ngumu watu kuunganishiwa umeme. Ndio maana serikali ilikuja na hoja ya 27000 kwa kila mtu ili kuongeza uunganishwaji kwenye umeme.
Mzee Prof. Shivji pole sana kwa teuzi kukupita kushoto- nakumbuka hata kwenye tume ya katiba mpya na bunge lenyewe uliachwa. Ila ulikuja saidia nchi ulipomuumbua Waryoba na takwimu zake za kuunga unga. Hili la bodi ya Tanesco litafakari upya- nadhani sheria na kanuni za bodi zinashauri na walaji wa huduma husika pia wawemo kwenye bodi- labda hicho kigezo kimetumikaMsomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.
Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.
Unaweza kusoma mwenyewe hapa.
Dah wakati wa Moto watu walijificha leo ndo wanatoka ...kweli CHADEMA INA HITAJIKA SANAMsomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.
Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.
Unaweza kusoma mwenyewe hapa.
Bottom line ni kwamba, kheri ufanye unachojisikia bila kusubiri endorsement ya wananchi maana wao hawaeleweki wanataka A or B.Kufikiri alikuwa sahihi kwa sababu hiyo ni kutokuwa na uwezo wa kufikiri kama sio kukosa akili
Yes kwenye uadilifu kuna hoja ya msingi ila sio eti kwa kuwa wapo private sector au ni wafanya biashara basi hawafai kuongoza bodi za taasisi ya umma?Mkuu tatizo ni aina ya watu, unakumbuka issue ya huyu mama Maajar? Kipindi kile Cha Dowans na Tanesco
Leo ukimuweka kwenye bodi unategemea nini?
Bado yapo masalia kama huyu mtoa madaHivi Sukuma gengi bado ipo ? [emoji205][emoji1787]