zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
JIBU: Fisi nao wanamiliki mabucha!!Kwa mfano ungekuwa na bucha ungempa fisi aisimamie?
Reason; Mtumishi gani wa umma hana hisa au biashara kwenye sekta binafsi? Nitajie mmoja tu kati ya maofisa waandamizi wa taasisi za umma.
Kama hamna, jibu ni kwamba hakuna tatizo mtu wa sekta binafsi kuingia serikalini maana wao ndio wapo sokoni/walaji hivyo basi wataongeza ufanisi zaidi kuliko maprofesa wa UDSM wasio na practical knowledge